Ndani ya Bweni la Sekondari ya Serikali Singida Vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndani ya Bweni la Sekondari ya Serikali Singida Vijijini

Discussion in 'Jamii Photos' started by Yombayomba, Aug 9, 2011.

 1. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mi chichemi, chemeni wenyewe.

  Hii ni picha ya Ndani ya bweni katika shule ya Sekondari ya Mwaru iliyopo Singida vijijini

  Picha kwa hisani ya Global Publishers
   

  Attached Files:

 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Maisha bora kwa kila mtanzania je hao sio watanzania?
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kabla ya kuchangia labda nikuulize mtoa mada ulikuwa unamaanisha nini?
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  no comments.
   
 5. m

  mja JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du inatiha, karne ya sayanzi na technologia, nakumbuka nilipokuwa nasoma, nilikuwa naambiwa neinde na godoro tu, vitanda vya kumwaga , nilitajaria miaka hiii watoto waambiwe njoo, kila kitu utakikuta..mhhhhhh, mungu tunusuru
   
 6. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jamani, hii ni hatua moja kubwa sana na ya kujivunia, serikali inapambana kikamilifu usiku na mchana kutafuta wawekezaji wa hizi mambo.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Wizara ya elimu inafanya nini?
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hata jeshini afadhali.
   
 9. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Mdau, hilo ni bweni au ni darasa? Naona madawati na viti lakini sioni vitanda. Na pembeni uvunguni naona chupa ya bia na upande mwingine kiroba kama cha mahindi vile!!! Mdau huenda umekosea hicho ni chumba ambacho mchana kinakuwa darasa na usiku kinakuwa nyumba ya mwalimu. Unaweza kuwa ubunifu mkubwa wa kukabiliana na changamoto za bora elimu. Kidumu cha .....................................
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  ''Bora elimu'' na sio ''elimu bora''...TUTAFIKA?
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Duh! Kweli..kuna chupa ya bia paleeeee! Mungu wangu!
   
 12. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Haya ndo maendeleo kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi!!!
   
 13. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu hii ni shule ya serikali na wala si ya binafsi, inasikitisha kuona hali ilivyo, hivi kweli mwanafunzi ataweza kusoma? Na ni wakati muafaka kwani bajeti ya elimu inakuja ili wabunge wetu waulize hili.
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Chupa ya Bia ya Safari... Maana zote cku izi zina shingo ndefu loh...
   
 15. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Maisha bora kwa kila mtanzania. Kwani wanafunizi hawakati kiu? Acha wafu wawazike wafu wenzao!
   
Loading...