Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,047
- 34,778
Ukipotea njia unajipeleka mwenyewe Kituo cha Polisi Mkuu Hapa ni London Uk.aa angalia usipotee
wewe vipi mdogo wangu leo amegeuka mshamba? Unamuonea wivu nini mkuu Tabby Mkongo huyo yupo ndani Ya Ulaya.............
Hivi kwa mfano hapo ndani ya ndege kupiga picha bila kuomba ridhaa kwa watu ambao wamejitokeza kwenye picha ni ustaarabu?
Mi huwa nakerwa sana na watu wanaopiga picha halafu baadaye unashangaa na wewe upo
Ukipotea njia unajipeleka mwenyewe Kituo cha Polisi Mkuu Hapa ni London Uk.
![]()
Napita taratibu tukisema kila mtu aweke zake alipofika sehemu mbalimbali Duniani hapatatosha humu.
aa angalia usipotee
Lah, mbona jamaa mshamba sana???