Ushamba siyo kwenda Ubeligiji wala kupiga picha. Ninauona usoni kwake katika picha zote, kuanzia alipokuwa kwenye ndege. Angalia anajaribu kujenga confidence kwa kutoa liulimi nje!. Huy jamaa kazi kweli. Fulu frasitureshens.. Nadhani pia safari yake ilikuwa na vikwazo sana na hivyo hadi kuvikiuka na kufanikisha hajaamini na anataka waliokuwa wanamkwamisha waone!.
Uso unasema mengi kuliko captions!.
Uso unasema mengi kuliko captions!.
mmmmh jamani ushamba wake kwenda Belgium ha ha ha picha memories ila angetunza nyumban kwake.
