Ndalichako vs Pesa ya Field

Uwe unahariri kwanza maandishi yako kabla hujatuma mkuu, hapa unamdharirisha mwalimu wako wa lugha na wahadhiri wa chuo chako
makosa tu ya kawaida kwani unafikiri naandikia peni kwenye karatasi bhana.ila nimekuelewa
 
Kiukweli wanatuzingua sana chuoni maana pesa imeshafika bado wanaona ugumu kututumia kwenye A/C's zetu,tatizo sijui nini wanaboa tena sana.
 
Kiukweli wanatuzingua sana chuoni maana pesa imeshafika bado wanaona ugumu kututumia kwenye A/C's zetu,tatizo sijui nini wanaboa tena sana.
Tukigoma huku na wenyewe kujua may be itasaidia ela kusekwa, hivihivi hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…