Samir7900000
Member
- Jul 26, 2016
- 52
- 26
Wawape wenye sifa si list wanayo? Sasa na hawa wanafunzi kwann waende field wakat wanajua hawana sifaMama si kasema kuna watu hawana sifa so wataondolewa vyuoni
Kwa inawezekana haoni sababu ya kutoa pesa ya field wakati kuna watu hawarudi chuo.....

Tulia kijana ngoja kwanza tukajenge uwanja wa ndege chato ndo tutawaingizia pesa yenu ya fieldKukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau?
Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko kabisa mujue..week imeenda sasa kesho ijumaa pia no any information concern this.
Maoni Tafadhali kuhusu vijana wetu.
Wewe si ndio ulileta habari humu kwamba loan officer wako alikuambia mngelipwa jana alhamis? Imekuwaje tena, huu ushauri si ungempa hapo hapo?Wawape wenye sifa si list wanayo? Sasa na hawa wanafunzi kwann waende field wakat wanajua hawana sifa
sio sahihi kabisa sababu tayr uhakiki ushakamilika kwa vyuo vyote,so sioni kama hiyo ni sababu ya msingi.kutokana na sababu kuwa tuliahidiwa pesa zitatolewa pini tutakapokuwa tunajiandaa na field kufikia tareh 8/8 ya juzi.huku ni kunyimana haki zetu za msingi za kupata fedha hizo then how we will live??Mama si kasema kuna watu hawana sifa so wataondolewa vyuoni
Kwa inawezekana haoni sababu ya kutoa pesa ya field wakati kuna watu hawarudi chuo.....
dah kwa style ya uongozi wa awamu ya tano tuna shida kweli ndugu zanguni,maana vitu vilivyokuwa vinatajiwa vipewe kipaumbele kama mamb ya elimu ya juu na mikopo yani ndo hata rais haviongelew kabisa na wakat katka kamlen ndo zilikuwa sera kuu na mambo muhimuTulia kijana ngoja kwanza tukajenge uwanja wa ndege chato ndo tutawaingizia pesa yenu ya field
Chuo ganiHela tayariiiiii n account imesoma 310k..j3 job kwa nidham ya hali ya juu
sasa hivi tuko busy kuhamia dodoma na kujenga uwanja kule kanda ya ziwa!!! nyie komaeni tu mtatokaKukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau?
Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko kabisa mujue..week imeenda sasa kesho ijumaa pia no any information concern this.
Maoni Tafadhali kuhusu vijana wetu.
Bro amini hivyo..kama hujapata leo pengine j3 lkn ni habar njema kama tumeanza kupata na wengine mtapataChuo gani
Mkuu tupe ukweli wa mambo kama ni kweli umeingiziwa ama la.je uko chuo gani na akaunti gani/ benki gani maana huku tumechanganyikiwa.zimeingia lini mkuu.Hela tayariiiiii n account imesoma 310k..j3 job kwa nidham ya hali ya juu
Siku hizi ni 310 kwa miezi mingapiHela tayariiiiii n account imesoma 310k..j3 job kwa nidham ya hali ya juu
Nauli mi sijui kwa kweli..nmepewa 310k bado 310k ndo ninachofaham..kwa wale wenye maden sasaHivi na nauli wamekuwekea au hakuna.maana kama in hicho kiasi nadhani nauli ilitamkwa ili tufarijike
Nauli mi sijui kwa kweli..nmepewa 310k bado 310k ndo ninachofaham..kwa wale wenye maden sasaHivi na nauli wamekuwekea au hakuna.maana kama in hicho kiasi nadhani nauli ilitamkwa ili tufarijike