Ndalichako, UDOM wamekukosea nini!

Chikwangara

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
685
939
Mpaka sasa, wanafunzi wanufaika wa mkopo hawsjapewa fedha zao za kujikimu, mbaya zaidi vyuo vingine kama UDSM, DUCE, ARDHI wameshapewa
inakuaje asitishe malipo yao kabla wanafunzi wa UDOM hawajapewa stahiki zao?
Au kwa kuwa mshaona wao ni VILAZA kama mnavyo dai!
Mtaani wanaendelea kudhalilika, wengine wamesafiri umbali mrefu wakitegemea mtawapa stahiki zao kwa wakati, matokeo yake wana zunguka tu mitaani wengine watoto wetu hasa wa kike wana nyanyaswa kijinsia.
Hebu mheshimiwa jitahidi kuwa 'fea' hao wote ni wanafunzi kama walivyo wa UDSM na ARDHI, kwanini muwabague?

Magician
 
Wawambie ukawa wawalipie fedha za kujikimu si wengi wao ni wanachama wao na ukawa wanaruzuku kibao kwa sasa.

Sasa Nyinyi Ni Wazi Kama ingelikuwa Technolojia Hii imeshavumbuliwa! Basi Nyinyi Ndiyo Wa Kwanza Wa Kufanyiwa BRAIN TRANSPLANT angalau Muweze Kufikiria Jambo Japo Kwa Muda Wa Dakika 5 tu Kwasiku.

Hivi Munadhani Wanaolia na Boom & Field Huko Vyoni ni UKAWA tu?? Unajuwa Ni MaCCM Mangapi Yaliyoko Vyuoni Yakiwa Choka Mbaya Yanapumulia Pumzi Za Mwisho Kwa Kukosa Boom?
Nahisi Hii Ndiyo Sababu Ya Ndalichako Mwaka Huu Kubana Udahili Wa Kuingia Chuo, Kwasababu Kaaminishwa Kuwa Wasomi Wanaotaka Kujiunga Na Vyuo Wote ni UKAWA.

Lakini Sishangai Huenda Mkawa Hata Mambo Ya Vyuo Hamujui Ni Nini!!


UDOM ilianzishwa na Lowassa kwa hiyo lazima waisome namba ya vile tunafuta elements zote za Lowassa hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom