Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
sana tu, ndivyo mlivyowaandaa, we uliona wapi watoto wa kibongo shule viboko vinafutwa? viboko vilikuwa vinasaidia, maana wengi wetu hatuna watu wa mifano ya watu waliosoma sasa unategemea tutasomaje bila shuruti? mifano ya watu tulionao ni wale ngumbalo.
Mkuu ila wasiochapwa viboko ndio wameongoza kwa ufaulu hapa nchini...sana tu, ndivyo mlivyowaandaa, we uliona wapi watoto wa kibongo shule viboko vinafutwa? viboko vilikuwa vinasaidia, maana wengi wetu hatuna watu wa mifano ya watu waliosoma sasa unategemea tutasomaje bila shuruti? mifano ya watu tulionao ni wale ngumbalo.
AHuyo dogo sijui atakuwa alirogwa sasa ndio anachora mauzauza anayoyaona??? 😕
Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne....
Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele....
Mwaha huu waliandika mashairi ya bongo fleva ni wengi kuliko wa mwaka jana..seems grafu inazidi kupanda....zombism ndio walichojifunza kwa miaka minne wale wa mwaka jana ilikuwa ubongo wa fleva..
Hilo nalo la kuunganisha mambo kwa gundi yawezekana maana bongo kila mtu ni mjanja mjanja tuuBy z way, lets put a 3rd eye look to the Zombi-thing.. who is precisely sure that the pics were truely drawn by the examiners?
Hamjui kwamba kuna matukio ya kuunganishwa na gundi Bongo?
every thing is possible in this piece of land....Je kama amchora yeye Mwenyewe NDALICHAKO, Nani ataverify otherwise???
Halafu utakuta huyo dogo kwenye M4C ndo alikuwa anashindia kwenye mikutano na maandamano.Kwanini yasikukumbe