Anaweza kweli kukawa na hitlafu katika utendaji wake alipokuwa NECTA, lakini ni upuuzi kumtoa kwa sababu ya malalamiko yaliyoegemea katika udini.
I know Ndalichako, ni mchapakazi. Hongera Joyce.
Duuh vyuo vya kata
vingi aisee,,,Aga Khan university ndio chuo gani tena hicho na kipo wapi
kwa wahindi kule au???
Toka long time ago. Mimi ni mwalimu wangu na nimeshafanya kazi chini yake. Mama anachapa kazi we acha tu sema nchi hii wachapa kazi wanaoonesha kuhatarisha nafasi za wanasiasa huwa hawadumu katika nafasi zao za kiutendaji unless uwe upande wao. Wakisema goli lipanueliwe ili watoto wafunge magoli mengi wewe ukisema hewala utaongezewa na cheo lakini ukileta mambo ya kiutalamu na usomi wako watakufratrate tu. Si umeona wale waliokuwa kwenye tume walipopendekeza kupanua magoli na yakawafurahisha wakubwa wakapandishwa vyeo. Si unaona Warioba anavyosakamwa kwasababu hakuleta kazi ya longo longo. Yeye kaleta kazi ya kitaalamu na kisomi lakini wanasiasa manunga yembe wamemgeuza mpira wa kona. Mwakyembe alitumwa kazi ya kitaalamu akaja akaficha ukweli mkuu lakini alipoanza kupiga piga kelele kutaka kuutoa ukweli mkuu kuhusu Richmond yakampata yaliyompata. Akajidai atasema wazi. Alipoona hatari inayomkabili akaamua kuufyata! Baada ya kuufyata akaanza kubebeshwa mavyeo yeye na wenzake waliokubali kushona midomo. Walimpa kwanza unaibu baadaye walipoona anabehave wakampa wizara kabisa. Anaendelea kupiga makelele ya kiutendaji lakini dhamiri yake inamtesa. Yule mama anayejiita injinia waliyekuwa pamoja akaukwaa ubunge wa maalumu kana kwamba haitoshi akaongezewa na ukuu wa mkoa! Chezea Danganyika wewe! Ndalichako hana ujinga huo kaona bora aende kupiga chaki kuliko kudhalilisha taaluma yakeLeo ndo kawa jembe?
CHADEMA
Yatosha
2015 tunamrejesha
Baraza
C.CM
mtajibeba
Ni mdini kupindukiaAnaweza kweli kukawa na hitlafu katika utendaji wake alipokuwa NECTA, lakini ni upuuzi kumtoa kwa sababu ya malalamiko yaliyoegemea katika udini.
I know Ndalichako, ni mchapakazi. Hongera Joyce.
GPA na Div 5,aibu kwa waliomtoa kuwa anashusha elimu ya nchi, bora vyeti vyangu vilisainiwa na associate prof.