Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.
Tena siyo muda mrefu watatoka wao na kubaki wameduwaa njia panda, ni aibu iliyoje nchi masikini inawapiga teke wataalam badala ya kuwakumbatia kwa manufaa ya watanzania wote wao wanafukuza kwa manufaa yao binafsi
Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.
Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.
NECTA ni taasisi pana yenye idara nyingi kwahiyo usiwe na mawazo kwamba kiongozi wake ndiye anayefanya kazi zote. Lawama na laana mnazotoa hazina msingi
Ameshindwa kuendesha baraza kwa ujinga wake hata km kungekuwa na elimu zaidi ya hiyo itabaki kuwepo kwny makaratasi ila hamna alichofanya zaidi ya kuboronga tu kutokana kufanya kazi kwa kuendeshwa na chuki na roho mbaya inayoongozwa na kumuamini roho mtakamoto
Unajua nashangaa wanaompa hongera kwa kuwa hawajui alichokifanya baraza la mitihani. Halafu chuo chenyewe wanaompendekeza eti ni The Aga Khan jamani! Hapo hata wewe nenda tu unaukwaa uprof. Vyuo vingine bana. Utadhani IMTU tu