Ndalichako ataka kufanyike uhakikiwa fedha za Ujenzi na ukarabati wa VETA Karagwe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,033
9,918
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, amemwagiza Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Peter Maduki kuunda tume ya Kuhakiki matumizi ya shilingi bilioni 4.65 katika ukarabati na ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Karagwe

Profesa Ndalichako ametoa maagizo hayo baada ya kukagua ukarabati na ujenzi unaoendelea wa chuo hicho ambao umepangwa kutumia kiasi hicho cha fedha mpaka utakapokamilika

Ametaka uhakiki huo ufanyike ndani ya kipindi cha wiki mbili ili kuokoa fedha hizo ambapo mpaka sasa Mkandarasi TBA ameshalipwa shilingi bilioni 2.228 sawa na asilimia 48 ya gharama ya mradi huku mshauri elekezi EZM Architects and Associates akiwa amelipwa shilingi milioni 130.89

Back
Top Bottom