Unajitahidi kuandika ila inaonekana sio mfatiliaji? ponda na wenzake tunaomuunga mkono tumeomba taasisi yetu isajiliwe lakini serikali inakataa jaribu kufatilia hilo utaugundua ukweli.
We paroko usitoke povu hilo la Nchimbi lishapita tafuta lingine. Kama hutaki hamia Congo
ww ndiye uko nje ya nchi!!!!! mimi na ndugu zangu niko/wapo hapahapa TANZANIA, na siondoki kesho wala kesho kutwa.Shari unaijua na kuiweza wewe?? Unaclick simu yako tu unadhan maisha rahis hivyo!! Na isitoshe hata nchini haupo hapa kazi kuchochea tu ili mpewe ukimbizi huko! Nimegundua wengi wa watoa porojo humu hawapo nchini na wanaombea kinuke wapate hifadhi ya kudumu huko,njoo ulingoni hapa
Mkuu chama ni vikundi gani vya kidini zaidi ya Uamusho na Shekhe ponda&co vilivyoleta vurugu Tanzania.?
Pimbi huyu alikuwa kajificha kwa mama mkwe wake kwa kuwaogopa wafuasi wa ponda. Kaona hali imetulizwa na JWTZ sasa ndio anaibuka.
Amani haipatikani kwa kuongea na waleta vurugu tu hata wale wanaofanyiwa vurugu wana nafasi kubwa sana kudumisha amani.
Chama
Gongo la mboto DSM
Umasikini ni kitu kibaya sana, umaskini unapofanikiwa kuua moyo na akili ya kujitegemea na kuanza kutegemea misaada kiasi cha kujidharirisha hapo inakuwa mbaya zaidi. Kumbe makelele na fujo zote hizo ni kwa kutaka kutembeza bakuli " what a shame!"Tatizo la Waislamu ni BAKWATA + CCM. Serikali ya CCM inawalazimisha Waislamu wote kua chini ya BAKWATA wakati upande wa pili wa Wakristo kuna Mabaraza mengi tu ya kuwasimamia.
Upo ushahidi kua kuna taasisi nyingi tu zinashindwa kutoa misaada mbalimbali kwa Waislamu kwa kulazimika kupitia Bakwata wakati hawaiamini.
Bakwata ndio iliyouza kwa Manji kiwanja cha waislamu cha Chang'ombe kwa bei ya kutupa. Lakini kama kungekua na mabaraza mengine Huru, hili lisingetokea kwa urahisi.
Serikali ya CCM kama inania ya dhati ya kumaliza haya matatizo basi iondoe monopolistic kwa hili baraza juu ya affairs za Waislam.
Tukianza hapo kwanza, mengine pia yatafuata maana naamini waislam wana hoja nyingi tu za kusikilizwa.
Umshauri nini wakati hata mkutano bado? We kama mjuzi sana/mshauri mzuri ingia kwenye kikao uliza dukuduku zako kama mwanajopo utapewa majibu na ushahidi wa wazi. Sawa MMK?Huu utayari umekuja lini na kwa nini? halafu watakaa chini wakishainuka kiwe nini? Itabidi tuwasaidie kweli kuwapa mawazo ya kulitoa taifa kwenye udini ambao wameliingiza.
Naona unajieleza mpaka povu linamwagika, ni hivi kwenye maisha usiangalie Results angalia source yake ni nini. Sasa uliyoorodhesha wewe yooote ni matokeo je chanzo unajua? Hapo ndo wenye akili kama akina Nchimbi wakaona bora wakae nao kitako, endelea na unazi wako wa...ww ndiye uko nje ya nchi!!!!! mimi na ndugu zangu niko/wapo hapahapa TANZANIA, na siondoki kesho wala kesho kutwa.
Na hakuna kauli ya kichochezi niliyotoa hapo, vinginevyo una matatizo ya kuelewa hoja, haiwezekani mtu azuie sensa, tuseme asante, avamia mali za watu, tuseme asante, atishie kuua tuseme asante, wengine wachome makanisa kwa 7bu za kitoto tuseme asante. LABDA KAMA SERIKALI YETU IMEAMUA KULEA MAKUNDI YA WAHALIFU ITAFANYA NAO MAZUNGUMZO, lkn ikiwa sio, ajenda hiyo ife natural death na aliyeshauri hili kampotosha waziri.
rafiki yangu kwa taarifa yako ni marafiki kibao ambao ni Muslims na kilichoniunganisha nao sio uislam wao bali UTANZANIA na hawaungi mkono ujinga huu. ww unaonekana ni miongoni mwa waathirika wa huu ujinga unaonekana uko hapa kuseek sympathy ili ndugu zako waliofanya uhalifu waachiwe bila masharti, hilo sahau, imekula kwao, serikali makini haiwezi kuwaachia wahalifu hawa ng'o.
Hivi ww kwa akili yako uliyo nayo ni busara kufanya mazungumzo na mtu aliyekuibia badala ya kumpeleka mahakamani, anyway it can happen in TANZANIA but only in TZ,
waongee nini na vikundi vya kidini.? Haoni kama ni kuhalalisha udini.?....akianza kusikiliza vikundi vya kidini vya kiislamu sawa na kuhalalisha makundi ya kidini tanzania na ndio mwisho wa tanzania moja.!