Nchimbi: Tupo tayari serikali kukaa pamoja na vikundi/taasisi za kidini

Itakua ni dhambi kubwa kama mtu angeulizwa kuorodhesha majina ya mawaziri wanafiki haalafu jina la huyu Mheshimiwa lisiwepo.Huyu jamaa ni mnafiki kuliko maelezo na ameusaliti ukristo mchana kweupe,kisa anapalilia huo uwaziri.Uzalendo wake kwa nchi ni big zero.
Hapa ndipo waislamu wanasema kuna mfumo Kristo! We unasema kabisa'amesaliti ukristo mchana kweupe' so huwa mnalazimishwa viapo makanisani ya kukandamiza Uislamu sio?? Nazidi kupata taswira ya Mfumo.
 
weakest proposal and offal ever to be made by the ministry in question of the expense on unknowingly.
Thats very true brother nakuunga mkono 100%! Lakini kuna kitu tunasahau watanzania kuhusu hawa viongozi wetu kwamba they are there for their own prestige and success and not the nation. There are no Patriotic leaders in TZ, and to them moving around with flags in their shoulders is what they define as patriotism! There is NO difference between this MINISTER and the BOSS who promoted him to that post! For sure NCHIMBI believes one day will be the president of this nation and to him and other politicians the so called TAASISI ZA KIDINI NA WACHOMA MAKANISA are POTENTIAL VOTERS! No matter what these guys are doing, you will never ever hear a comment from TANZANIAN POLITICIANS! Even when they comment , they are somewhere in between the two conflicting groups, simply because they want VOTES from both sides! Unfortunately even opposition leaders are trapped in the same trap. Sifa ya kiongozi ni kukemea pale inapobidi kufanya hivyo , na diplomacy when it is necessary! Kwenye very obvious scenarios whereby a person or a group have bleached the LAWS openly, there is no discussion rather than forwarding them where they are supposed to go (TO THE COURT) and not compromising with them. Nashangaa kuona hata vYombo vya habari havilioni hili la udhaifu wa viongozi kama NCHIMBI! NCHIMBI kama unataka URAIS basi utushawishi hivi sasa kwa kufanya KAZI na sikuwa MNAFIKI ili ukubalike na HATA WAVUNJA SHERIA SIMPLY BECAUSE UNATAKA WAKUPIGIE KURA! CCM imefika hapo ilipo kwa kosa hili kubwa la KUKUMBATIA kila uchafu so long utawapigia kura! ndio maana majambazi, wezi, mafisadi na wachafu wakila aina wakaingia CCM na kuipa MICHANGO ambayo hatimaye wamefika hapo walipo! Imefika mahali viongozi wa CCM wameshindwa kusimamia sheria simply because wanaogopa wataangushwa pale watapoonyesha NIA yao kugombea URAIS! ANGALIA HIVI SASA PAMOJA NA MATUKIO MBALIMBALI YA AJABU WANASIASA WAMETULIA KIMYA KWA KUOGOPA KUHARIBU THE SO CALLED GOOD REPUTATION HATA KWA VIKUNDI VYA KIHUNI KAMA CHA PONDA PAMOJA NA UHAMSHO! Kwao vikundi hivi nimtaji wa KISIASA in their political future! HAKUNA WAKATI MUAFAKA WA KUWAJUA VIONGOZI WA KWELI KAMA SASA WAKATI TUKIWA NA HIZI VURUGU! Tunahitaji kiongozi MTANZANIA; MWENYE UWEZO WA KUKEMEA BILA KUJALI KAMA WATU WATAKASIRIKA AU LA so long lina maslahi kwa nchi. Mvunja sheria anatakiwa kushughulikiwa na sheria tu si vinginevyo hata kama akijificha kwenye UKRISTO AU UISLAM: MUUAJI NI MUUAJI TU NA ANASTAHILI KUKAMATWA HATA KAMA ATAKIMBILIA KANISANI AU MSIKITINI!
 
Suruhisho ni kutokubali maswala ya dini kutumika ku destabilise serikali kumbuka serikali haina dini

Ahaa...sasa ndio maana waisilamu wanataka mikataba ya makanisa na serikali MoU zivunjike na dini ziwe zinajitegemea naserikali itumikie Taifa na ibakie kama inavoeleza ktk katiba kwamba haina dini.
 

is too late but
ipo nafasi lakini si swala la kuongea na vikundi bali kama kiongozi aliye strong ni kuonya na kukemea baadhi ya vikundi na hata kufutia usajili kwa mfano uamsho is for the benefit of whom and what na wakati gani
 
Amesema kama serikali hatupo tayari kusubiri watu wauwane ndipo tuseme tukae chini,inatosha na wapo tayari kukaa kimazungumzo na taasisi za kidini.
My take: kauli kama hii ilitakiwa mapema mnoo na sio mpaka watu walaluwane, na isiwe kwenye dini hata siasa na mambo mengine.
Source Channel Ten Habari saa moja.
Nawakilisha

is too late but
ipo nafasi lakini si swala la kuongea na vikundi bali kama kiongozi aliye strong ni kuonya na kukemea baadhi ya vikundi na hata kufutia usajili kwa mfano uamsho is for the benefit of whom and what na wakati gani
 
nchi ina mtataizo lukuki, anakaa kuongelea mambo ya dini! mzee moustach naye ni janga lingine katika hii nchi!
 
Back
Top Bottom