Nchimbi, Sofia Simba hamkuwa mnaona ukiukwaji wa kanuni Bungeni?

Nchimbi, Sofia Simba hamkuwa mnaona ukiukwaji wa kanuni Bungeni?

BURUTA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
639
Reaction score
824
Spika Makinda anapokiuka kanuni za bunge mnakuwa kimya, vipi leo mnakuja juu kukiukwa utaratibu wa CC?
 
Ukizoea vya kunyonga haya Ndio madhara yake
 
oyooyooo,oyoooyoooo luwashaàa,luwashaaàeeee,asulubuweeee iyeeyeeeee,oyooooyooo oyoooyooo
 
Hehehe nyani haoni kundule
Uwaziri mkuu huoooo umepeperuka
 
Moyoni akina nchimbi na s.simba wanajaribu kumridhisha mfadhili wao.maa wanahofia hata kupoteza majimbo.
 
Spika makinda anapokiuka kanuni za bunge mnakuwa kimya, vipi leo mnakuja juu kukiukwa utaratibu wa CC?
Mkuki kwa nguruwe kwa binafamu mchngu!
Bungeni si huwa wanaamini nguvu ya wengi (majority) iweje ndani ya chama wanapinga maamuzi ya wengi..?!
Wakale malimao tu no way out!
Vinginevyo ccm mapande ileee kama naiona vile!!
 
Nyie hamjui ccm inacheza na akili za watu? Hawa wang'oke madarakan tu! Na pengine hao kina nchimbi wametumwa tu kusema hivyo! Kama walivyotumwa makada kibao kuchukua form wakati wanamgombea wao tayari wamekwisha muandaa ila usanii wao mwisho mwaka huu!
 
Hivi serukamba mbona simsikii au ndo anaugulia maumivu ya kufyekwa kiinua mgongo
 
shangaa sasa spika anaendesha bunge kwa kanunu za kichwa chake badala ya kanuni za bunge wapo kinywa leo ndio wanajidai wanataka kanuni zifatwe mwosha huoshwa
 
Wamejidhalilisha tu hao kina Nchimbi...

Mengine hawajaona ukiukwaji..ila hilo ndio wameona
 
Kwani kumetokea nini?.Mimi najali afya yangu nililala mapema. Nawashangaa nyie mmekesha kufuatilia ulaji wa watu wengine. Poleni wabongo
 
wameenda kula malimao jamani Huyu simba sindo alikutwa akili sake nusunarobo alipopmwa.
 
Back
Top Bottom