Hizi si rahisi kuwepo, watu wanakenda kwenye starehe....kinywaji ie pombe, womanisation and the like! beaches za kustarehe "uchi"...sasa huko Dubai Saudia ini inakataza.
Atakwenda mtu kwa bussines na marais wa afrika waliiba pesa na kuzificha hukoambao si wengi kama watalii