Hatar sana mkuuSomalia Inayo Matatizo mengi sana ya internet, siku za nyuma internet ilikuwa inaondoka kabisa kwa nchi nzima, sipati picha siku Tanzania ikiwa hivyo. > Internet Yarejea Tena Somalia Baada ya Kukatika Kwa Siku 3
Ndiyo maana nikasema ni kama hapa kwetu unapoiongelea Zanzibar, napajua mkuu huko bahati nzuri namshukuru Mungu, nilishakanyaga mwaka juzi. Nilijionea mwenyewe jinsi hizo sehemu zilivyo na sheria tofauti.Kaka Hilo Swali Bado Lina Utata Sana, Hong Kong ni Nchi na Kuna Tafiti zinasema sio sehemu ya China na Tafiti Nyingine zinasema iko ndani ya China... Hong Kong ina pesa yake, Ina Passport yake hata pia ina wakala wa uhamiaji. Unaweza kusoma zaidi Hapa > Interesting Fact: Hong Kong Isn't Quite a Part of China
YapHatar sana mkuu
Sawa kaka.Ndiyo maana nikasema ni kama hapa kwetu unapoiongelea Zanzibar, napajua mkuu huko bahati nzuri namshukuru Mungu, nilishakanyaga mwaka juzi. Nilijionea mwenyewe jinsi hizo sehemu zilivyo na sheria tofauti.
Daa ila sisi wabongo tunapenda ukaiunganisha nchi yetu na vitu vya kijingaa
Umeelewa lkn, au umeibuka tu kama vile unatoka shimoni!!Daa ila sisi wabongo tunapenda ukaiunganisha nchi yetu na vitu vya kijingaa
hesabu zako hazijaenda sawa.........1megabits=0.125megabytes...naona ulichanganya kidg...na 8megabits=1megabytes...thats means kama unadownload file la 1GB kwa speed ya 1megabits/s itakuchukua takribani masaa 22 na DK 61Mbps=8MBps. ....1 megabits per second is equal to 8 megabytes per second
Kwahiyo kudownload file la 1MB kwa sekunde moja unahitaji connection yenye 8Mbps...
Tanzania speed yetu tupo kwenye Mbps...
Najaribu kumaliza ka ubishi flani apo juu
Ok right nimeenda vice versa ... Shukranihesabu zako hazijaenda sawa.........1megabits=0.125megabytes...naona ulichanganya kidg...na 8megabits=1megabytes...thats means kama unadownload file la 1GB kwa speed ya 1megabits/s itakuchukua takribani masaa 2 na DK 26
hata mimi pia hapokwenye time nimeenda kombo kidogo kwa speed hiyo ya 1Mbps ingechukua MASAA 22 na Dk 7 kudownload file lenye 1GBOk right nimeenda vice versa ... Shukrani
88.66Mbps=11.O825MBps.........ikiwa inamaana ya kwamba unadownload speed ya kudownload file la 11.0825Megabytes per secondHata Tanzania hatupo nyumaView attachment 778598