Nchi Zenye Internet ya Kasi Zaidi Duniani

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
5. Norway - Nchi ya Norway hadi kufikia mwezi may mwaka jana 2017 ilikuwa na uwezo wa internet yenye kasi ya MB 21.7 kwa sekunde.

4. Hong Kong - Nchi ya Hong Kong hadi kufikia mwaka jana 2017 ilikuwa na uwezo wa internet yenye kasiya MB 21.9 kwa sekunde.

3. Sweden - Nchi ya Sweden hadi kufikia mwaka jana 2017 ilikuwa na uwezo wa internet yenye kasi ya MB 22.5 kwa sekunde.

2. Switzerland - Nchi ya Switzerland hadi kufikia mwaka jana 2017 ilikuwa na uwezo wa internet yenye kasi ya MB 23.5 kwa sekunde.

1. South Korea - Nchi ya South Korea, au Korea ya kusini ndio inashika kinara kwa kuwa na internet yenye kasi ya MB 28.6 kwa sekunde. Mbali na kasi hiyo kwa mujibu wa tovuti ya CNET hivi karibuni korea kusini imetangaza kuzindua Internet yenye kasi ya GB 2.5 kwa sekunde. Ndio umesoma sahihi yaani filamu ya GB 1 ukiwa korea ya kusini unaweza kuipakuwa kwa chini ya sekunde moja..

SOMA ZAIDI HAPA
 
Pamoja na kuzika vifaiber optic huko barabarani bado haijasaidia hapa Bongo kwetu kwenye upande wa speed!!??
Kwa kweli kwenye utafiti huu hatupo lakini lazima tutakuwa kwenye nafasi nzuri tu kwa Afrika, bofya link hapo chini kuona list ya nchi za Afrika.
 
Back
Top Bottom