Nchi Zenye Internet ya Kasi Zaidi Duniani

Nchi Zenye Internet ya Kasi Zaidi Duniani

Acha Uongo hebu pakua uweke hapa tuone.
Mb 2. per sec
Ina maanisha izo mb 429 zina download chin ya dakik 5 .

PhotoGrid_1526411307547.jpg
 

Unapakuwa file la mb 20... Unaenda chooni kukata gogo... Ukirudi ndio kwanza zimeingia mb 5
Bado tuko nyuma sana mkuu. File hilo la 20mb Canada unalipakuwa kama sekundu 9 tuuu! Movie mzima ya 4gb unaipakuwa chini ya 3 mins.
.tunastream hd contents bila kwiki...netflix. Hbo nk..bongo bado tuko nyuma sanaaa. Taratibu tutafika tu
 
Hiv Hong Kong...ni nchi....?...na mji mkuu wake unaitwaje...?
Hong Kong ni jiji mashuhuli kule China ambalo linajitegemea kama nchi katika mambo mengi. Unakuta hata baadhi ya sheria zao zipo tofauti na zile za nchi kwa ujumla kama ilivyo kwa baadhi ya majiji yaliyopo Marekani.
 
USA kuna maeneo hayajapata hata 3G yana internet ya 2G bado!..
 
Back
Top Bottom