G
Ww hujawah kumilik akilHata afrika hususani mataifa ya weusi tii yanapaswa kuukataa uislam, ni aibu nchi kama nigeria, senegali, gambia kuukumbatia uislam, ona madhara yake huko nigeria ni vurugu tupu za kidini kila uchao boko haram wanasumbua
tulia we muislam, mnafundishana chuki kila uchao mnaita wenzenu makafiri, nyie ndio makafiri wenyeweWw hujawah kumilik akil
tulia we muislam, mnafundishana chuki kila uchao mnaita wenzenu makafiri, nyie ndio makafiri wenyewe
Hivi kuanzia 2025 tu hadi leo ni nchi gani Kati ya za kiislamu na hao wazungu wanaongoza kuua wenzao kwa wingi?tulia we muislam, mnafundishana chuki kila uchao mnaita wenzenu makafiri, nyie ndio makafiri wenyewe
Na nyinyi Wakristo mfundishwe kutumia akili na kuwa waadilifu.Tatizo uislam una mafundisho ya chuki dhidi ya wasiokuwa waislam, uhamasishaji wa matumizi ya nguvu kama kupigana jihad, kujitoa muhanga kuua watu wengi kwa kujilipua, huu utamaduni ndio hatari kwa dunia
Hata afrika hususani mataifa ya weusi tii yanapaswa kuukataa uislam, ni aibu nchi kama nigeria, senegali, gambia kuukumbatia uislam, ona madhara yake huko nigeria ni vurugu tupu za kidini kila uchao boko haram wanasumbua
Hawajachelewa sana actualy, kama. Sikosei majuzi wahamiaji kutoka mataifa ya uarabuni waliopo ujeruman walitaka sharia iwe sehem za nchi hiyo, iliibua mtafaruku mkubwa.Mbona kama wamechelewa! Na hao wahamiaji waliowapokea na kuwapa hifadhi watawapeleka wapi?
Propaganda za vyombo vya kimagharibi bado zinaendelea kukutafuna tu Mzee!?, mbona kila kitu kipo wazi siku hizi!!?Hata afrika hususani mataifa ya weusi tii yanapaswa kuukataa uislam, ni aibu nchi kama nigeria, senegali, gambia kuukumbatia uislam, ona madhara yake huko nigeria ni vurugu tupu za kidini kila uchao boko haram wanasumbua
Na nyinyi Wakristo mfundishwe kutumia akili na kuwa waadilifu.
Tuanzia nchi za Kiislamu Qatar , Saudia , Bahrain , UAE wapi Kuna kujitoa muhanga na kujipua .
Nenda Indonesia, Brunei , Kazakhstan, Turkiye, Turkmenistan nk mbona hakuna hayo matukio ?
Kihistoria mbona Wakristo wameua wengi kisa kueneza ukiristo, kuanzia Romana Empire , Crusader, colonialism nk mbona hauongelei huko ?
Dehumanization na Demonization hiyo ndio project iliyoWabrainwash ndio maana mpaka Leo Muislamu pekee akifanya tukio anatambulishwa kwa dini yake na kuchaguliwa Uislamu , akifanya Yahudi au Mkiristo haliitwi tukio la kigaidi wala dini yake kupakwa matope
Kilichowafanya wakaanzishe vita huko ni nini? Unaanzisha vita unategemea nini unategemea nini pumbavuMbona kama wamechelewa! Na hao wahamiaji waliowapokea na kuwapa hifadhi watawapeleka wapi?
Kwenye uislam tatizo kubwa ni uwepo wa mafundisho yanayohamasisha chuki. Kwenye ukristo, hakuna mafundisho yoyote yanayohamasisha chuki au kuwataka waumini wakristo kuwaua wasio wakristo, tofauti na kwenye uislam. Kwenye ukristo, waumini wanahamasishwa kupeleka upendo na huruma kwa wasio wakristo ili watu wawatenge na wasio waumini kwa kugaona matendo ya upendo na huruma kwa watu wa Mungu. Japo ni ukweli kuwa wapo wakristo waovu, lakini watafanya uovu wao bila ya kuegemea mafundisho yoyote ya kiimani.
Mfano mdogo tu, kuhusiana na matukio ya 29 Oktoba 2925, viongozi wa Kikristo walilaumu vitendo vya mauaji kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya Ukristo, cha ajabu viongozi wa Uislam wenyewe walipongeza mauaji, na kutamka kuwa watu wakiandamana tena, wao watawaamrisha waislam watoke kwenda mabarabarani kuwakata watu vichwa! Kwenye matukio kama hayo, wewe unasemaje? Huko Nigeria, makundi ya kigaidi ya waislam yamewaua wakristo zaidi ya 400, tena wakiwa kwenye ibada. Hapa Tanzania, kuna wakati makanisa yamechomwa moto, Zanzibar kuna wakati padre ameuawa na waislam, maduka yanayouza pombe kuchomwa moto. Je, kuna msikiti umewahi kuchomwa moto? Kuna shekhe amewahi kuuawa na wakristo?
Ukweli unabakia pale pale kuwa uislam unahitaji sana busara ya muumini, lakini akisema afuate yale maandiko ya kishetani kwenye Quran yanayohamasisha waislam kuwaua wasioukubali au kuupokea uislam, Dunia haitakalika.
Baadhi ya Vifungu Vinavyohamasisha Mauaji Kwenye Quran:
- Surah Muhammad (47:4): "So, when you meet those who disbelieve, smite at their necks till when you have killed and wounded many of them.".
- Surah Al-Anfal (8:12): "...I will cast terror into the hearts of those who disbelieved, so strike [them] upon the necks and strike from them every fingertip".