haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,475
- 3,538
Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za utawala kuaminika na umma wote na wananchi wote kua na agenda moja.
Kutokana na muingiliano wa kijamii ( diversity) pia kukua kwa technolojia, wananchi wamekua waki hoji mambo mengi ambayo zaman walikua hawana shida nayo,
Kwa mfano USA,
Mambo kama
1. Masuala yanayohusu Israel
2. Watu weusi
3. Homosexuality
4. Immigration
5. Ni hii ya Left vs Right.
Haya yote yamefanya nchi kua na mgawanyiko mkubwa kias ambacho kwamba, censorship imekua kali sana. As of late, the Kimmel was cancelled for his comments or Kirk. The same cause is happening on U. K
So the western world will not be the same as we knew earlier.