Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Ndiyo maana mimi jana nimemgegeda Joseph kimario nae ni mkristo shoga mzoefu
 
Mkuu Israel Wakristo ni wachache kuliko Waislamu (about 2%). Tofautisheni mzungu na Mkristo
Sawa ila hilo jambo yapaswa ulielewe wewe siyo mimi, maana yake nini , sasa ni hv ukristo na uyahudi ni dini mbili tofauti ukiwa ISRAEL dini kubwa ni uyahudi ,kisha uje ukristo na uislamu,

Ila wengi watakwambia uyahudi ni ukristo hyo ni big NO , VItabu na sala za kiyahudi ni vya kipekee , myahudi hapatani na muislamu ( hii ipo sababu) na pia hamkubali mkristo( pia ipo sababu) lakini ajabu wakristo wana watukuza wayahudi
 
Tena waislam ndio washirika namba moja wa 'barabara la vumbi' ni vile tu wanafanya unafiki,eg. Zanzibar na ata shekhe mkuu wa Dar ni mshirika sana tu.
Hakuna kitabu iwe cha bible au Koran vinavyoruhusu ushoga,hizo ni tabia za watu haziusiani na dini zao
 
Mkuu tofautisha mtu mweupe (mzungu) na Ukristo.
Mkristo ni mtu anayefuata na kuishi matendo ya KRISTO (YESU).
Ushoga ni roho (spirit) ya shetani ambayo haina dini bali iko kinyume na taratibu za MUNGU (nature). Ushoga ni tendo la kishetani ambalo ukemewa na waumini wa dini za Kikristo na Kiislam.
Pia most of the Whites they neither Christian nor Muslim, they live their own life without fear of God.
Hivyo ukiona whites wa nataka haki ya kutafunwa ujue hao ni wao wali hawako affiliated na Ukristo ama Uislam
Mkuu umeongea vizuri lakini usisahau kuwa uweziuwezi kuongolea uislamu bila ya kutaja uarabuni ( far & middle East) vivo hvo huwezi kutaja ukristo bila ya kutaja ulaya , kwa nini ?,huko ndiko madhehebu makubwa yalipotoka , huko ndiko waliko upigania ukristo, syo Asia , Africa wala latin , hao wote walipelekewa ukristo na watu wa ulaya hata hapa tanganyika hvo please don't run it ,

Crussade war nenda kaipitie hii vita huenda ukafungua akili zako, wafalme wa ulaya waliipigania ukristo kindakindaki sasa leo hii iweje hao hao wasiwe waumini?, wapagani2 ulaya sio wengi kuzidi wakristo
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Nchi za kikristo ndiyo nchi kama zipi?
 
Wanaoongoza kushtakiwa kwa ufiraji ni mashehe. Narudia uislamu ni uchafu wa kiwango cha juuu
 
Ndio masha, usikarike sana..Abudu space, galaxies and time kama mimi, wala hutaghadhibika
.haya hawapo utawaona kwenye misa jumapili...

1669514353960.png

1669514456760.png
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Nchi za magharibi, sio nchi za kikristo lakini pia huko wapi waislam pia tena wengi. Huko kwenye zinazoitwa nchi za kiislamu ushoga ndiko ulioanzia na masheikh wengi ñi washiriki kwa siri
 
tukiitisha hesabu ya haraka haraka tu tutagundua waislam wengi wananyanduliwa zaidi kuliko wakristo.
 
Kuna shoga mmoja alikuwa anaitwa kalbi alikuwa mrembo Sana , mara nyingi Muhammad alikuwa anakutwa nae chumbani kwake , Muhammad akaona isiwe tabu akawa akikutwa nae anawaaambia ni jibril kaja na umbo la huyo shoga

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Kwa mujibu was Koran
Shoga anatakiwa kusutwa na kupigwa kidogo na makobazi na aachiwe huru
Koran-4:16. Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni.
--Tafsir al-Jalalayn 4:16 .... act adultery or homosexual intercourse punish them both with insults and beatings with sandals; ..
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Republican wanapinga ushoga na ni chama kikubwa marekani
 
Ukristo ulibaki tu Africa kwasbb ya ignorance yao na umasikini kama Vetican ma padri 18 wanatuhuma za ushoga kweli bado Ukristo una moral authority kua Dini ya Mungu, wenzetu walisha acha dini yao waliachia wa Africa waitetee hiyo Dini.
Mashehe nawao wanawalawati watoto wa madrasa
 
Nchi gani imejipambanu ni ya kikristo??
Nchi gani ambayo muislam haruhusiwi kuishi/kufanya ibada zake kisa ni nchi ya kikristu??

Nchi gani inaongozwa kwa misingi ya kikristu( ni ipi hiyo misingi ya kikristu ambayo hizo nchi huzitumia kuongoza).

Unapozidi kuneng'eneng'eka ndo inaingia vizuri. Wewe ni moja watu mnaotumiwa kuusambaza ushoga.

Qatar wameingia kingi.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Hii kitu umeandika hapa hata ukimpea mdogo ako wa darasa la 4 shule ya msingi vingunguti anaeza akatilia shaka ufahamu wako wa akili
Wapi biblia inasapoti ushoga? Ushoga ni hulka ya mtu tu na haihusiani na dini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom