WISDOM SEEDS
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 841
- 283
Huyo Sitta ni mnafiki hakuna deni munalo tudai,zanzbar hatuna viwanda lakini deni munaloleta sio la uhakika hilo deni mulotoa tunaweza kulipia mikoa miine ya tanganyika umeme bure,lzanzbar tuna population 1.2 milion umeme wa kiasi gani tunao tumia ?
Hilo deni ni nothing tu kwetu kwa sababu kuna fedha nyinga ambzo tunazikosa sisi wazanzbari kwa kupitia bank kuu ya tanzania,wakati zanzbari imetoa zaidi ya asilimia 10 katika kujenga bank hio,kuna fedha za mikopo,fedha kutoka UN kusaidia nchi masikini zinapokewa kwa jina la tanzania lakini matumizi hufanyika tanganyia na sisi kuangukia patupu.
Ukiona mtumzima analia ujue kuna jambo,na ndio maana wazanzibari wamechoshwa na muungano mkubwa kumla mdogo,na haiwezi kani.
Kaka dai kwa kutumia activities,kuna majukwa sasa hivi kama bunge,na makongamano ya katiba,sasa huo ni wakati wako kuingia katika hilo,na hamasisha wenzio katika kudai hilo na unajua faida ya kuwa na taifa lako,kwaa maana hiyo waelimishe wenzio.Na sisi tunaitaka Tanganyika yetu ili isimamie mambo ambayo si ya muungano ili yale ya muungano yashughulikiwe na serikali ya muungano.
then inafwata kizazi ya watoto wa watawala kutawalaUkweli ni kwamba; Rais wa Tanganyika/Tanzania Mwl. J.K.N na Marais wa Tanzania pekee naongelea hao jamaa watatu ni sawa na maji na mafuta. Hii inanituma niseme kuwa miaka 50 ya UHURU imegawanyika hivi: -Yakumbukwe maneno ya Baba wa Wataifa Mheshimiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a.k.a Mzee wa Kuota
- Miaka 21 ya UHURU (wakati wa Nyerere)
- Miaka 13 ya IBA LAKINI USISHIKWE (wakati wa mzee wa Ruksa)
- Miaka 10 ya UBINAFSI (wakati wa mzee wa Ubinafsishaji)
- Miaka 6 ya UFISADI (wakati wa Baba Riz a.k.a HB bingwa wa wake za watu)
Ni hayo tu!!!!!!!!!!!!!
Ukweli ni kwamba; Rais wa Tanganyika/Tanzania Mwl. J.K.N na Marais wa Tanzania pekee naongelea hao jamaa watatu ni sawa na maji na mafuta. Hii inanituma niseme kuwa miaka 50 ya UHURU imegawanyika hivi: -Yakumbukwe maneno ya Baba wa Wataifa Mheshimiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a.k.a Mzee wa Kuota
- Miaka 21 ya UHURU (wakati wa Nyerere)
- Miaka 13 ya IBA LAKINI USISHIKWE (wakati wa mzee wa Ruksa)
- Miaka 10 ya UBINAFSI (wakati wa mzee wa Ubinafsishaji)
- Miaka 6 ya UFISADI (wakati wa Baba Riz a.k.a HB bingwa wa wake za watu)
Ni hayo tu!!!!!!!!!!!!!
basi kama ni hivyo hata zanzibar isiwepo iwepo tanzania visiwani!kwenye katiba hakuna Tanganyika kuna Tanzania Bara toka katiba ilipoundwa 1977.
basi kama ni hivyo hata zanzibar isiwepo iwepo tanzania visiwani!
NAITAKA TANGANYIKA YANGU NIJIVUNIE KAMA WAZANZIBARI!