Nchi-Country..eneo la ardhi ya Tanganyika bado haija badilika na tunayo na ndio tunaioishi,ila hili eneo linaitwa jina lingine tu sasa hivi..kwa nahisi hili sio tatizo.
State-Dola ya Tanganyika,utawala na mfumo wake mzima uliosimamia ardhi ya eneo la tanganyika,imekuwapo kwa jina hilo tangu utawala wa Uingereza kama mdhamini wetu,mpaka madaraka ya ndani,1960,uhuru 1961,jamhuri 1962 ikafikia tamati mwaka 1964 baada ya kungana na serikali ya dola ya zanzibar na kuwa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar.
Nation-taifa latanzania,yaani watu wake zaidi,wamewekwa pamoja mara ya kwanza chini ya mipaka ya nchi moja,na iliyo chini ya dola moja wakati wa ukoloni wa ujerumani kwenye eneo lilijulikana kama german east africa,ilijumusiha mataifa mengi tofauti zenye mipaka yake na mifumo ya utawala tofauti..kwenye hili bado tuna safari ya kutengeneza taifa Tannganyika,Nyerere alijaribu na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa,lakini wapishi wapya naona wamebadili viungo...
tatizo letu hapa haswa ni jina la eneo,jina la dola inayotawala eneo,au watu wenyewe kwenye hilo eneo?tanganyika gani tunayitaka?
Masikini Kiswahili, mbona kinaonewa hivi!?kwa hiyo;
mimi ni mtanzania
mimi ni mwafrika
mimi ni mdunia
mimi ni mwanadamu
Huwa unanipinga kwa kudhani hakuna mwana CCM mwenye fikra za kimapinduzi ya ukweli.
Dodoma. The three tier Union will be adopted by the government only if it is decided by Tanzanians from both of its sides, the parliament was told yesterday.The minister of State (Vice President's Office-Union), Ms Samia Suluhu Hassan, said this when she responded to a question by Magogoni MP, Mr Kombo Khamis Kombo (CUF). He had wanted to know when the Union government would form three governments "so as to serve wananchi better."
The minister said at present the government was going on with a review of the new constitution. It was therefore obvious that wananchi would get an opportunity to express their feelings on the Union government through the new constitution, she noted.
"I am glad that the government has already started to deal with the constitution issue. Therefore, it is quite clear that wananchi will get enough time to discuss and decide on what to do about the issue of three governments," said Ms Hassan. She said the government had no direct answer on whether there should be three governments in the country, but wananchi would give it after going through the constitution documents.
According to Ms Hassan, the government would like to avail enough time and opportunity to wananchi to decide on what they think was important for their country. She said the right answer would be obtained after the whole process is over.
Earlier, the Magogoni MP wanted to know the number of ministries in the Union government and specifically those that deal with Union matters.The minister said there were at least 29 ministries, six of which were operating directly in both Tanzania mainland and Zanzibar.
"We have six ministries which are operating on both sides. These are: Finance and Economic Affairs, Vice President's office-(Union matters) as well as Defence and National Service.
citizen
Nasikia mara ohhhh, wabara wanatuonea, wabara wanatudharau. Sisi si wabara, ni watanganyika bana!
Muungwana haachi asili. Nia yangu si kuanzisha thread ya kupinga muungano, bali sipendi kuitwa mbara na ndio maana ninasema sisi sio wabara, ni watanganyika. Ukisema Tanganyika ni jina la kikoloni, basi kataa pia majina ya Tabora, Mwanza, Dar es salaam, Tanga na mengine mengi yanayopatikana katika ramani iliyochorwa na mkoloni.
Kitu ambacho ninachojiuliza ni kwama kuna mambo yasikuwa na muungano,na mambo ya muungano,sasa yasiokuwa ya muungano kwa upande wa zanzibar yanasimamiwa na serikali ya umoja wa kitaifa SMZ,jee upande wa tanzania bara mambo yasikua ya muugano yanasimamiwa na serikali ipi ? Kuna madini,gas, haya sio ya muungano yanasimamiwa na serikali gani ? Na kama ipo hiyo serikali tuambieni ni tanganyika au uganda au kenya au ya zanzbar ?Sikatai hoja yako. Ninachojua ni kwamba kuna nchi mbili ktk hii inayoitwa Tanzani. Pamoja na denial toka ka viogozi mara zote utasikia jambo hili ni la Muungano na hili si la Muungano. Je hilo lisilo la Muungano ni la wapi kama hakuna nchi nyingine? Physical boundaries ziko very clear shida ni Administrative set up.
Umeme mnalipia ndugu zetu? Leo mheshimiwa Sitta amewaumbua bungeni na hakuna hata mzenji mmoja aliyesimama na kupinga kuwa hamlipii umeme na mnadaiwa zaidi ya bilioni 50, aibu kweli kweli......Kitu ambacho ninachojiuliza ni kwama kuna mambo yasikuwa na muungano,na mambo ya muungano,sasa yasiokuwa ya muungano kwa upande wa zanzibar yanasimamiwa na serikali ya umoja wa kitaifa SMZ,jee upande wa tanzania bara mambo yasikua ya muugano yanasimamiwa na serikali ipi ? Kuna madini,gas, haya sio ya muungano yanasimamiwa na serikali gani ? Na kama ipo hiyo serikali tuambieni ni tanganyika au uganda au kenya au ya zanzbar ?
Cha kushangaza zaidi Mafuta ambayo yamegundulika zanzibar wanasema ya muugano,jee migodi na gas,tanzanite kwa nini yasiwe ya muungano tukagawana wote, yaani munajifanya chetu chetu,chenu wotu sote,yaani vya zanzibar tugawane wote vya tanganyika mule peke yenu,,,
mimi sio mtanganyika,
sikuzaliwa Tanganyika,
maana ya neno Tanganyika, siijui,
Tanganyikailitoka wapi, sijui,
ilibatizwa jina na nani, sijui
nilizaliwa Tanzania,
nilizaliwa Afrika
nilizaliwa duniani
nlizaliwa na mwanadamu
kwa hiyo;
mimi ni mtanzania
mimi ni mwafrika
mimi ni mdunia
mimi ni mwanadamu
maana ya Tanzania, najua
maana ya Afrika, najua
maana ya Dunia, najua
maana ya mwandamu, najua
nawauliza wazanzibari,
nini maana ya Zanzibari,
nani aliipa jina Zanzibari,
kwa nini wajivunie uzanzibari?
kwa nini wasijivunie utanzania?
Sikatai hoja yako. Ninachojua ni kwamba kuna nchi mbili ktk hii inayoitwa Tanzani. Pamoja na denial toka ka viogozi mara zote utasikia jambo hili ni la Muungano na hili si la Muungano. Je hilo lisilo la Muungano ni la wapi kama hakuna nchi nyingine? Physical boundaries ziko very clear shida ni Administrative set up.
Mlipigwa kura ya maoni kutaka serikali ya ccm na cuf, mnangoja nini kupiga kura ya maoni haya uliyoandika hapa? Au wewe si mrangibari?Nawakilisha kwa maoni ya wazanzbari
- Ashakh (Kiongozi) 09/06/2011 kwa 6:29 mu · Jibu
Muungano kitu chengine na katiba kitu chengine.
Wazanzibar wao hawataki katiba wanataka muungano ujadiliwa. Kujiziba kwenye mjadala wa katiba ni sawa na kuchujia kutumia difu.
Suluhu, wizara 29 au mambo kumi na moja? Jee Mkataba wa muungano ni kwa wizara au kwa mambo maalum?- buhanan 09/06/2011 kwa 8:15 mu · Jibu
Hatutaki type ya aina yoyote ya wenye kuitwa Muungano .Ndugu Mbunge mchaguliwa kumbuka wajibu wako ,kumbuka dhamana yako upo hapo ulipo kwa ajili ya nani na kwa ajili ya nini hilo la kwanza la pili kama ni moga basi uondosha woga wako mara moja eka imani yako thabit hufi ila kwa ahadi yako ikifika ,rizki yako ALLAH katupa dhamana utaipata popote pale ulipo .Nchi yako ni muhimu UNGUJA NA PEMBA (ZANZIBAR) umeacha watoto wako ambao kesho watakuwa warithi kwa kile ulichokiacha nacho ni ZANZIBAR .Kumbuka kukomboa nchi yako umekombowa watoto wako ambao watakuwa na fakhari juu yako ,na ukifanya uzembe wako watoto wako watakuwa madhalili katika nchi yao na watakuwa wageni wasijue pahali pa kwenda .Kumbuka maslahi yote ya kidunia yanapita bali ZANZIBAR itabaki milele ambayo itakuwa ni urithi wa wajukuu zako .Imani yangu utaweka maslahi ya ZANZIBAR mwanzo kuliko chochote.
UJUMBE KWA WABUNGE WA ZANZIBAR TU WA BARA HAIWAHUSU.- saidi sundas 09/06/2011 kwa 8:20 mu · Jibu
samia pile dada watanganyika kimewanukia sasa wazanzibari tuwamke- zamko 09/06/2011 kwa 8:44 mu · Jibu
@Wachangiaji mumeyamaliza yote ahsanteni
Kwakuongeza tu Mimi nasema huyu Samia Suluhu ni Mjinga mkubwa sana watu wkihesabu nazi yeye anahesabu makumbi,. Hapa anaulizwa ni lini tutakua na serikali tatu ambazo zitawezesha kuendesha Nchi hii ya Tanzania na anaanza kutaja katiba na wizara za Muungano.
Hivo nyinyi hamujui kama hata huyo aliechanganya Mchanga wa Muungano (Mchona Meno) alisema kule UK in 1964 ..nanukuu.. "Kama Wazanzibari watakataa muungano huu wa Tanganyika na taifa la Zanzibar sitawalazimisha na Muungano hautakuwa halali"…
Suala kwako wewe bibi unayechakachuliwa na Watanganyika.. Jee Wazanzibari hawakukataa Muungano ? UKama wewe ni Mzanzibari na unaipenda nchi yako na kuwatakia maisha bora vijukuu vyako hapo baaadae , utanganganiaje Muungano na kuanza kusema kwamba. Mpaka sehemu zote wakubali ? Wacha ujinga huo wale Wawakilioshi wa European Uniun wanapokutana kule Brussel kila Mjumbe au Waziri anatetea Utaifa wake na maendeleo ya Nchi yake kwanzxa ndio anakuja na suala la Muungano wa EU.
Sisi tunapelekewa Majuha wasiojua hata kuhesabu moja na moja ni nmgapi akina Mohamed Khatibu haoo wanaosema ati Zanzibar inafaidika 100% kwenye East African Community. Wakati EAC kila nchi ikifika pale inatangaza biashara yake na kuendeleza mambo ya uchumi na kilimo cha kisasa. Wakati Zanzibar inawakilishwa na mama wa kambo (Tanganyika). Kweli hapa Tanganyika itataka uchumi na kuimarisha biashara ya Zanzibar kwanza kuliko Tanganyika?.. Halafu Mohamed Khatib anasdema 100% tunafaidika na EAC.
Tumechoka kuuzwa … Na kama hamuna lakusema basi nyamazeni Wapumbavu wakubwa nyie.- has 09/06/2011 kwa 10:56 mu · Jibu
MUANGALIYENI NDUGU YENU ANAVOSEMA
Hakuna mgogoro kuhusu Muungano'
Wednesday, 08 June 2011 17:46 administrator
E-mail Print PDF
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna mgogoro kuhusu Muungano, bali kilichopo ni changamoto ambazo zimekuwa zikitatuliwa kila zinapojitokeza. Samia alisema changamoto za Muungano zimekuwa zikijadiliwa na pande zote na kutafutiwa ufumbuzi kupitia Tume ya Pamoja ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na ile ya Muungano. "Changamoto za mgawanyo wa mapato ambazo hujitokeza, zimekuwa zikishughulikiwa na majadiliano yanaendelea," alisema. Alisema hoja ya kutaka kuwe na serikali tatu, ni suala la wananchi, ambao wataamua kupitia mjadala wa Katiba. "Wananchi wanayo fursa ya kuamua suala la serikali tatu au la, na watatoa maoni na sababu, hapo ndipo tutafahamu kama serikali tatu zikiwepo zitaondoa changamoto za Muungano," alisema.- Primic 09/06/2011 kwa 11:12 mu · Jibu
Watanganyika ngao yao wanavojidanganya ni viumbe hivi.
Mchakachuliwaji samia,
Mchonga meno bilali,
Kifa ruhande nahoza
Bulibuli seif khatibu.
Nahuyu mgonjwa wanyonga dr wakipindupindu sh kuna idi amini hapo,hawa wao wanajifanya kuficha ficha makucha lakin tayar tumeona dalili
.
Mimi somtimes nahisi hawa tunawapa vichwa kweli kweli kuka tukawabembeleza kuhusu muungano bcouse tunataka usawa nahaki itendeke leo ukidai vitu hivo kwa uhasid wao naroho chafu hukereketwa ndani yanafsi zao.
Wallah somtimes inanijia akili hawa wanatafuta kila njia yakuhalalisha mungano huu batil.
Nisawa na mwizi umemkamata namali yako then kujitetea kwake ili aonekane hakuiba anasema
unafkiri mimi ninaziki na kidee hiki naweza kukuachia mimi bure lakin wakati huo huo anaondoka nacho kidogo kidogo anakula kona.
Ndo vichogo walivo hivo ndugu zanguni,MUNGU ishaala awashinde nashari zao kwa nchi yetu.- mchongoma 09/06/2011 kwa 11:41 mu · Jibu
A/Alaikum Wazalendo wote
Jee ndugu zangu {{WAZANZIBARI}} munajuwa nini sababu ya hawa wenzetu kuuwa {{UTANGANYIKA}} wao na wakang'ang'ania [[ UTANZANIA]] ?? Kwa nini wakataka kuudumisha huu MUUNGANO japo kuwa si-wahalali?? Suala hizi nnawaachiya nyinyi wazee wangu muliokuwa na ujuzi mkubwa kuliko mimi!! Lakini kwa kuzifanya simple hizi suala zangu; nimehisi mbora niwadokelee au niwamegulie japo kwa ufupi jawabu ya suala zangu hizi na ni kama hivi:-
1} Tanganyika walipopewa UHURU hawakupata kujiunga na UMOJA WA MATAIFA, kwa hivo tunasubutu kusema kuwa TANGANYIKA si-mwanachama wa Umoja wa mataifa hadi hii leo, ndio ukaona wameuuwa UTANGANYIKA wao na kung'ang'ania kuvaa koti la UTANZANIA ili wapate fursa ya kuutumia ule uwanachama wa WAZANZIBARI kule U.N.na kukiteka kile kiti chetu huku wakijinaki na kujivunia eti sasa ni chao.
2} Wanaung'ang'ania muungano feki udumu ili wapate fursa ya kututawala na kutuchukulia kila kitu chetu hapa Zanzibar kwa manufaa yao tuu, upande wetu tunaambukia zero. Kwa kusema kweli!! uvunjikapo muungano leo na wakarudi na TANGANYIKA yao! basi watakumbwa na shida kubwa sana na huenda wakakosa misaada yote wanayoipata hivi sasa, mpaka pale watakapo pewa uwanachama na kiti chao cha umoja wa mataifa. Lakini tatizo kubwa liliopo ni KUKUBALIWA AU KUKATALIWA ombi lao na haijuilikani muda utakao chukuwa mpaka kujipatia uwanachama huo. Kwa hivo hili ndio jambo wanaloliogopa na kila leo wanakwepa madai ya waZanzibari ya kuvunja MUUNGANO. Lakini sisi hayo hayatushughulishi; hilo ni tatizo lao walilojitakia wenyewe sasa watajuwa vipi kujitatuwa na mashakili hayo.
Sisi waZanzibari tunasema kuwa MUUNGANO hatuutaki; kwasababu hauna faida na NCHI yetu wala kwa waZanzibari kwa ujumla, tusilazimishane hili ni jambo la khiyari baina ya nchi na nchi na baina ya wananchi na wananchi, lakini ikiwa upande mmoja haufaidiki kwa lolote, kwanini tufuge MARADHI na madaktari wapo??
Kuna msemo unasema:- MTUMAINIA CHA MWENZAKO HUFA NA UMASIKINI WAKO
NAWAKILISHA
MCHONGOMA- saidi sundas 09/06/2011 kwa 12:19 um · Jibu
sasa kitu kilicho baki ni kama anasingizia uzarata wa katiba basi ss tutapinga hiyo katiba na kupinga muungano maana katika kujadiliwa tutakuwa tukitokakwenye ukumbi na kusema kuwa hatutaki katiba bali tunataka muungano uvunjike hatutaki muungano sasa atatujuwa wahuni sisi kazi kwake atajiju- kindy 09/06/2011 kwa 12:47 um · Jibu
Tukiwategemea wabunge hao ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi hakunalitalokuwa upuuzi gani huu leo serikali inashindwa kutoa huduma basic wanataka kuuliza pande zote mbili kwani walipofanya walimuuliza nani ? jee upande mmmoja ukisema no nadio itakuwa nini hi ni kununua wakati tuu wakitoka hao washachukua milioni zao 50 job done hawana uchungu ha
Huyo Sitta ni mnafiki hakuna deni munalo tudai,zanzbar hatuna viwanda lakini deni munaloleta sio la uhakika hilo deni mulotoa tunaweza kulipia mikoa miine ya tanganyika umeme bure,lzanzbar tuna population 1.2 milion umeme wa kiasi gani tunao tumia ?Umeme mnalipia ndugu zetu? Leo mheshimiwa Sitta amewaumbua bungeni na hakuna hata mzenji mmoja aliyesimama na kupinga kuwa hamlipii umeme na mnadaiwa zaidi ya bilioni 50, aibu kweli kweli......