punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Mimi ni mtanganyika. Faida ya muungano wanaijua ccm-magamba. Kwani Malawi/Zambia/Msumbiji siyo waafrika wenzetu? kwa nini hatuungani? Waacheni wazenji waende kivyao, kwanza huko kunyonywa wanakosema hakumnufaishi Mtanganyika wa kawaida. Waacheni, ikifikia hivyo visiwa vyao vìnamezwa na bahari, kama majirani tutawasaidia mashua wahamie uarabuni.