jifunze historia vizuri coz tanganyika bado iko hai, na dhana ya tz bara na tz visiwani zimebuniwa tu kwa maslahi ya the so called baba wa taifa. back to the history hakuna makubaliano yoyote ya kuiondoa tanganyika. nyerere kwa sababu ambazo hakuna anayezifahamu alitoa tamko kwamba kila penye neno tanganyika katika docs za kisheria liwekwe neno tanzania. why? no body knows. sasa jee ni kweli kuwa tanganyika imekufa? hapana ni kiasi cha kureverse the action tu na tanganyika itarudi tena. tukisema nyerere alikuwa dictator mtabisha ila ndio ukweli. hakuna aliyethubutu kuhoji wala kuuliza juu ya mabadiliko hayo na mengine. Ok.kama hiyo haitoshi, wazanzibari kupiga kelele juu suala la muungano ni haki yao ya msingi. tanganyika iliondoka nchini bila ya makubaliano yoyote. kutokuhoji suala hilo kwa watanganyika kulitokana na uzembe na woga wao sasa ndo kusema kutokana na uzembe huo zanzibar nayo iondoke hivyo hivyo. hapana cha msingi ni kurudisha tanganyijka na si kuondoa zanzibar ile ile serikali ya muungano kama ambavyo imeasisiwa ifanye kazi yake. ila kwa kuwa watanganyika tumezoea jazba ndo mana wazanzibar wakijitetea tunaona kinyaa ila ukweli ni upuuzi wetu wenyewe. nitarudi :juggle:
Sikupenda kuchangia jambo hili kwa vile huwa linajadiliwa kishabaiki sana kiasi kuwa mantiki huwa haifanyi kazi tena. Unasema kweli, Tanganyika kama nchi na Zanzibar kama nchi zilikufa baada ya ule Muungano. Ila vitu vyote vilivyokuwa ndani ya ardhi iliyokuwa inaunda taifa la Tanganyika havikubadilika; ndiyo maana tulibaki na miji ya Dar es Salaam, Tabora, Mwanza, Tanga, na hata Ziwa Tanganyika. Vile vile Taifa la Zanzibar lilikufa wakati ule ila vitu vyote vilivyokuwa ndani ya ardhi iliyokuwa ikijulikana kama Taifa la Zanzibar havikufa, hiyo ni pampja na visiwa vya Zanzibar (Ungunja), Pemba, na visiwa vyote vidogovidogo vinavyozunguka eneo hilo.Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.
Wake zetu hututukana sana, hata raha ya ndoa siioni. Ndoa hii haramu ivunjike.
Mkuu huwezi kuwa mtz bila zenji, turudi tu nyumbani sisi ni watanganyika na hakuna anayewezakulibadili hilo, achana na mamwinyi!
Pamoja sisi ni Watanganyika baasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
nilikuona una busara sana katika comment yako ya awali kumbe ni mdini hivi. duhNahisi ilikuwa ndoa ya mkeka. Tulifanya mapenzi na Zanzibar mara moja tu kisha tukapewa mke wa kudumu. Naunga mkono hoja, huyu mke aende kwa maana hata sasa ana mabwana nje; namjua mmoja ni OIC.
kwa taarifa tu ni kwamba znz bado si mwanachama wa oic mpaka hivi ninavyoandika. walitaka wadanganyika wakasema ni suala la muungano and that is why likaibuka tena hivi karibuni. hata hivyo hilo si suala la uzanzibar bali ni la kidini...Sio udini, suala kama ni juiya ya kimataifa yenye manufaa tuingie taifa moja na sio kipande kimoja. Nirudishie busara zangu bana
kwa taarifa tu ni kwamba znz bado si mwanachama wa oic mpaka hivi ninavyoandika. walitaka wadanganyika wakasema ni suala la muungano and that is why likaibuka tena hivi karibuni. hata hivyo hilo si suala la uzanzibar bali ni la kidini...
Ni kitu kibaya sana duniani kufikia hadi kuukataa historia ya Taifa lako....Tanganyika ni Taifa la watanganyika......mbona wazanzibari wanapenda sana kujiiita wao ni Wazanzibar na ukimwita Mtanzania hatopendelea wala hatokuwa na furaha kabisa.....
ni bora muji Proud kama ni Watanganyika kuliko Tanzania kama vile wazanzibari Wanavyoji proud wao ni wazanzibari tu hadi mwisho wa dunia hii.
Nimesema sikiliza vyombo vya habari halafu tafakari jibu lako; maana yake jibu lako litangulie halafu tafakari ifuate. Sijasema sikiliza vyombo vya habari halafu weka jibu, maana yake jibu tumia yote unayojua kujibu maswali hayo.Sasa unataka jibu kulingana na tafakari yangu ya yanayosemwa na vyombo vya habari, ulichofundisha au ninachfahamu?