David webb
Senior Member
- Nov 20, 2011
- 159
- 84
Habari zilizopo hivi sasa ni kuhusu mji wa TANGA kuwa ndio utakuwa mji wa kwanza kujengwa machinjio rasmi ya NGURUWE? madiwani wote wameshasaini, amebaki MEYA nae hana namna atasaini.Project proposal na Action plan viko tayari,Hapo ndipo tulikofikishwa.
Lakini angalau itasaidia kuwapa ajira vijana wetu na itakuza uchumi wa TANGA na jamaa zetu watapata pesa za kuezeka mabati kwenye nyumba zao badala ya makuti.
"UTAIFA KWANZA UDINI HAUNA MPANGO"
Why not Tanga.But why TANGA and not Mbeya,kilimanjaro,Moshi N.K
Why not Tanga.
ingependeza neno udini usiliweke ili mjadala upendeze lkn kwa kuweka haka ka neno umeshaamishia mjadala kwenye udini wakati hili lilikuwa linafaa lijadiliwe kisiasa na kiuchumi zaidi vinginevyo ungeipeleka post yako kunakousika.
Ni mawazo yangu tu.
Labda because of "strategic location"But why TANGA and not Mbeya,kilimanjaro,Moshi N.K
Ingependeza neno UDINI usiliweke ili mjadala upendeze lkn kwa kuweka haka ka neno umeshaamishia mjadala kwenye udini wakati hili lilikuwa linafaa lijadiliwe kisiasa na kiuchumi zaidi vinginevyo ungeipeleka post yako kunakousika.
Ni mawazo yangu tu.