Nchi yenye vijana aina hii inaweza kuendelea?

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,815
1,575
16265832_1897526190481999_6951943023420433158_n.jpg
 
kabisa ila Nchi yenye vijana wa ki ccm kamwe haiwezi kuendelea kwani wapo na yule 'mwovu' aliyefukuzwa peponi
 
Wewe Hapo Ulipo Una Maendeleo Gani?

Unajua sana kujibu hoja wewe! Ninyi ndo watu mnaotakiwa muwe mnatoa hoja za kuendeleza chama na ushauri kwa mwenyekiti wetu wa chama. Ningejua jina lako halisi ningekupendekeza!
 
Hizi ni mbwembwe za kisiasa tu wakati wa kampeni za uchaguzi. Ni sawa na mtu angekuuliza ikiwa kwa raisi mwenye kupiga push up nchi inaweza kuendelea, kwani kupiga push up au kudeki barabara zote ni mbwembwe za kampeni katika siasa.

Labda la maana unalopaswa kuuliza ni kama nchi inaweza kuendelea ikiwa wabunge wa chama tawala wataunga mkono kila kitu ili mradi ni kauli ya mmojawapo wa chama chao. Hayo ndio maswali ya msingi.
 
Unajua sana kujibu hoja wewe! Ninyi ndo watu mnaotakiwa muwe mnatoa hoja za kuendeleza chama na ushauri kwa mwenyekiti wetu wa chama. Ningejua jina lako halisi ningekupendekeza!
mbowe labda umshauli yale anahitaji kuyasikia masikioni mwake la sivyo....
 
Hizi ni mbwembwe za kisiasa tu wakati wa kampeni za uchaguzi. Ni sawa na mtu angekuuliza ikiwa kwa raisi mwenye kupiga push up nchi inaweza kuendelea, kwani kupiga push up au kudeki barabara zote ni mbwembwe za kampeni katika siasa.

Labda la maana unalopaswa kuuliza ni kama nchi inaweza kuendelea ikiwa wabunge wa chama tawala wataunga mkono kila kitu ili mradi ni kauli ya mmojawapo wa chama chao. Hayo ndio maswali ya msingi.
vipi na wewe ulishiriki kupiga deki barabara ili Lwaiganani apite?
 
vipi na wewe ulishiriki kupiga deki barabara ili Lwaiganani apite?

Sina kawaida ya kujibu maswali yasiyo na pua wala mdomo - lakini la kwako nitajibu. Hapana. Mimi si mtupu kichwani wa kiasi cha kujishusha hadi kufikia level ya kufanya mbwembwe za kisiasa. Zote naziona ni uenda wazimu wa namna fulani.
 
Shauku zikizidi huondoa akili,ingawa tunaweza jiuliza nini ilikuwa shauku yao mpaka wakapata ujasiri wa kufanya waliyoyafanya? jee wamepoteza matumaini au? Mambo unayoyafanya kwa bahati mbaya au kwa kujitambua yanapambanua wewe ni mtu wa namna gani?
 
Nchi nzima akili hamna kukumbatia vyama badala ya nchi we ukiona mpaka kitengo vitengo nyeti kama police usalama navyo vimelewa hiyo gongo ujue basi taifa hamna
 
Back
Top Bottom