Nchi yangu imekuwa ya Ajabu

Nchi yangu imekuwa ya Ajabu

SCOOBY DOO

Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
76
Reaction score
69
Bila shaka Kama watu waliofariki wanaweza kuona yanayoendelea Duniani na wakaumizwa au wakafurahia Basi Nina hakika Mwl Nyerere anapita katika maumivu ya ajabu kuliko ugonjwa uliomtoa duniani!

Taifa ambalo aliliacha likiwa na sifa ya utulivu na ustaarabu limekuwa ni Taifa la ajabu Kabisa, imekuwa ni sehemu ya kutekana bila aibu, matukio yanajirudia huku vyombo vya dola vikiishia kutoa sababu za nyepesi kwamba wanakiteka wenyewe. Taifa ambalo Sasa watu wote wanaishi kwa hofu kubwa si wananchi wa kawaida, watumishi wa Serikali, maskini kwa matajiri wanahisi wako kwenye nchi iliyokuwa ya Idi Amini.

Leo wako watu wanaweza kusema wanachotaka hata Kama ni Cha hovyo lakini vyombo vya dola ni Kama haviwasikii, lakini masikio yao yanasikiliza vilio vya wenye haki na hao ndio wanachukuliwa hatua kwa kuusema ukweli!!

Vyombo vya Serikali vinafanya dhuruma mchana kweupe bila aibu!! Msajili wa vyama Sasa ni wazi bila kificho anafanya kazi ya CCM, tume ya uchaguzi ni Kama wanaandaa makaburi ya kuwazikia Watanzania. Wenye hekima hawasemi!!

Waliokuwa wakijinasibu kuwa wanafahamu farsafa za Mwalimu wamezigeuka hekima za Mwalimu, sasa bila aibu wanatumikia matumbo yao kwa hofu zao. Hatukuzoeshwa uhuni huu, Sasa inatugharimu!
 
Hizi nyakati mkubwa wangu ukipata nafasi ya kutulia na kufanya jambo kaa hapo na ukae kimya, waliosoma alama za nyakati si unawaona. Yaani wako huko pembeni kabisa wanafuatilia tu mchezo na remote zao kuubwa
 
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbi la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
 
Toa ushauri nini kifanyike. Kama kulalamika na kulaumu mmeshafanya sana.

Sasa ni wakati wa kuja na mapendekezo ya nini kifanyike ili tuweze kusonga mbele kama taifa.
 
Kuna watu hawatakwepa adhabu ya MUNGU kama maafa yakitokea nchi hii kwa sababu wameshindwa kutoa kauli za kuonya wakati wana nafasi na wajibu wa kufanya hivyo.
Watu hao ni marais wastaafu wote, Mzee Mwinyi, BM na JK.
Kipi kinawaogopesha kutoa maonyo? Mwalimu baada ya kustaafu alikuwa anawakemea bila woga Mwinyi na BM pale alipoona wanakwenda ndivyo sivyo.
 
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbo la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Akili za kutosha kujua msalani lazima ushushe suruali pekee
 
Kada wa chama huyu na aliwahi kuwa Minister of Foreign Affairs.

Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbo la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
 
Haha man una weak point. Allegation zako zimekaa kisiasa zaid uliko actual facts. Yes watu walikuwa wakitekwa enzi za ukoloni.. but si kwa speed na sababu hizi ambazo wazi ni za kisiasa.
Kwa sasawatekaj wamekuwa huru sana.. na wako sponsered na chombo flan cha serikal.. ndio maana mpaka sasa hajakamatwa hata mmoja. Why ? Sababu serikali ina. mkono mrefu sana na naviamini vyombo vya usalama. Kama wangekuwa ni watu wa upande mwingine ndio wanafanya mambo haya.. nina uhakika wangekuwa wameshakamatwa.
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbo la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
 
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbi la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Wakati huo huo hayo yakitokea police na serikali inakuwa likizo au hao mabosi wa red brigade siyo watanzania wanaopaswa kulindwa
 
Ni wakati muafaka wa kuwa kamata hao mabosi wa red brigade kwa kitaa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.
 
Mfano mzuri wa 'waliojiteka' unaweza kuwa ni pamoja na Mo, Mdude, Azory, Ben Saanane nk? Wewe hata buku moja hupewi kabisa!
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbi la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
 
Uongozi bora wa serikali ya makanikia umetuletea utekaji we are on the right truck .
 
👊🏽👍🏽Umetulia na kujenga hoja nzito na za kina. Angalia yule taahira msiba anavyotisha na kuchafua watu kule utube na kwenye kijigazeti chake uchwara kinachodhaminiwa na nduli na dikteta wa Ikulu. Hakuna wa kumgusa mpumbavu yule.

Haha man una weak point. Allegation zako zimekaa kisiasa zaid uliko actual facts. Yes watu walikuwa wakitekwa enzi za ukoloni.. but si kwa speed na sababu hizi ambazo wazi ni za kisiasa.
Kwa sasawatekaj wamekuwa huru sana.. na wako sponsered na chombo flan cha serikal.. ndio maana mpaka sasa hajakamatwa hata mmoja. Why ? Sababu serikali ina. mkono mrefu sana na naviamini vyombo vya usalama. Kama wangekuwa ni watu wa upande mwingine ndio wanafanya mambo haya.. nina uhakika wangekuwa wameshakamatwa.
 
Kuna watu hawatakwepa adhabu ya MUNGU kama maafa yakitokea nchi hii kwa sababu wameshindwa kutoa kauli za kuonya wakati wana nafasi na wajibu wa kufanya hivyo.
Watu hao ni marais wastaafu wote, Mzee Mwinyi, BM na JK.
Kipi kinawaogopesha kutoa maonyo? Mwalimu baada ya kustaafu alikuwa anawakemea bila woga Mwinyi na BM pale alipoona wanakwenda ndivyo sivyo.
Mku Mwalimu Nyerere alikuwa msafi kwa hiyo ulimpa uwezo wa kutolea kauli chochote chenye ukakasi ktk taifa
 
Ni wakati muafaka wa kuwa kamata hao mabosi wa red brigade kwa kitaa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.
wale wanaotekwa na wakamatwe tena? wanaccm wa awamu hii mna tatizo gani?
 
Back
Top Bottom