Nchi ya vilaza

kudra hamidu

Senior Member
Jul 1, 2012
152
107
4417f7635f5cddfdbd28e1e2834df301.jpg
 
Mbona nipo nje mitaa ya k/koo Shule ya uhuru ndani nakwepa joto.
Shule ya Uhuru!!!! Utakuwa ndo unaondoa ukilaza uko eee, maana adi kuna walimu maalumu huko wa kupambana na ukilaza toka patandi na sekomu
 
Shule ya Uhuru!!!! Utakuwa ndo unaondoa ukilaza uko eee, maana adi kuna walimu maalumu huko wa kupambana na ukilaza toka patandi na sekomu
hahaaaa haaha teh the teh mbavu zangu aisee :D:D:D:D:D:D
 



NI KWELI KABISA....Watu wabishi walalamishi, hawataki kuzingatia kanuni, sharia na taratibu, mradi wa DART hawautaki mabasi yake yanagongwa kila siku, maeneo ya DART wamegeuza vijiwe na 'guest', jana walipinga ufisadi leo wanataka ufisadi, mbuga za wanyama zimemalizwa lakini majangili wakikamatwa wanasema haki za binadamu zimekiukwa, mawaziri wanakunywa na kulewa kazini mpaka bungeni, upinzani ajenda yao kususia vikao vya bunge lakini posho hawasusii na wananchi wanawaunga mkono, watumishi serikalini hawawezi kufanya kazi mpaka wasukumwe, watu wa form IV zero wanapata nafasi ya vyuo vikuu wakiondolewa wanatetewa na wananchi kwamba ni ukiukaji wa haki za binadamu, kiongozi akiwa mpole ameuza nchi akiwa mkali ni dikteta....
 
Vilaza - laza ni kitendo cha kulaza.
kulazwa ni tendo la kufanyiwa/kutendewa.
vilaza - wanaolaza/kulalisha mtu..
 
Back
Top Bottom