Upo wapi mkakati rasmi wa Tanzania kurusha satellite?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,023
Reaction score
31,535
Ni wazi tukiwaacha vilaza na ngwini kujibizana katika siasa za uwanaharakati nchi yetu haitaendelea kamwe katika milestones muhimu za kiuchumi na kiulinzi.

Kama hatutasukuma agenda za namna hii tutaishia kuendesha nchi kwa reference za ngwini wanaoiga uwanaharakati tu na hivyo Taifa haliwezi kusonga mbele kwa muktadha wa sayansi na teknolojia.
wapo wapi maprofesa waliosoma Engeneering na kozi zinazofanania kutuvusha?
 
Kitila hajaiweka kwenye dira 2050 ? Dunia ipo kwenye robots hata kutengeneza zana kma jembe, panga, shoka hatuwezi tumerudi nyuma zamani kulikuwa na ZZK (zana na kilimo Mbeya), Ufi tumebakia kuwa taifa la wachuuzi na walanguzi pamoja na porojo za uchumi
 
Ni wazi tukiwaacha vilaza na ngwini kujibizana katika siasa za uwanaharakati nchi yetu haitaendelea kamwe katika milestones muhimu za kiuchumi na kiulinzi.

Kama hatutasukuma agenda za namna hii tutaishia kuendesha nchi kwa reference za ngwini wanaoiga uwanaharakati tu na hivyo Taifa haliwezi kusonga mbele kwa muktadha wa sayansi na teknolojia.
wapo wapi maprofesa waliosoma Engeneering na kozi zinazofanania kutuvusha?
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom