englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mwenye njaa usimnyime chakula, Mola atakujazi...
Mwenye njaa usimnyime chakula, Mola atakujazi...
Jery Muro alianza hivihivi akajikuta mahakamani........enzi zile...sasa hivi wanang'oa meno kucha na macho
Mwenye njaa usimnyime chakula, Mola atakujazi...
Dawa yao hawa ongea nao ung'eng'e wataishia kukutakia safe journey, ishanisaidia sana hiyo.
Ni nchi ya watu wadogo. Juzi natoka Lushoto nimefika Korogwe-maili kumi kuna viji askari vikanisimamisha, nikapaki vizuri kabisaaaa. Akaniomba akaniomba akague gari nikamkubalia. Akataka leseni nikampa. akataka fire ext nikamwambia tangu nilipie TRA hawajanipa.....akashtuka kidogo. Akaniambia Mzee toa basi chochote aaaggg nikamwambia kijana sina kitu labda parachichi maana natoka home. Alivyomjinga eti akasema nipe basi ambayo yameiva ili tule kabisa.......vina njaaa hadi vinatia kinyaaa