Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 364
- 645
mkuu zinaitwa SILAHAHivi nani aliyegundua hizi silaa?
Kutengeneza bomu moja ni gharama kubwa mnoNorth Korea na mbwembwe zake wanamiliki silaha 8 za Nyukilia ? Source ya habari ni nini ? Halafu siri za majeshi yao si wanaficha ?
Shetani na wafuasi wake watu wa Mungu wanagundua Upendo, Amani, Utu wema Fadhili na mengine yanafananayo na hayo.Hivi nani aliyegundua hizi silaa?
Nimeshangaa, na Mimi.huwenda taarifa siyo sahihiIran hana hata 1!
Shetani na wafuasi wake watu wa Mungu wanagundua Upendo, Amani, Utu wema Fadhili na mengine yanafananayo na hayo.
Itakuwa ya 10Iran hana hata 1!
Hao ndio materorist.... Haya masilaha sio ya kuulia binadamu bali Ya kuangamizia binadamu.... Lakini kwa mapenzi yetu tunawaona hao ndio magentle men... Haya tutajua siku ya mwisho.... mwongo na mkweliShetani na wafuasi wake watu wa Mungu wanagundua Upendo, Amani, Utu wema Fadhili na mengine yanafananayo na hayo.
Iran hana bomu la nyuklia ila alikua anataka kutengeneza akawekewa vikwazo akishindwa kutengenezaNimeshangaa, na Mimi.huwenda taarifa siyo sahihi
Nenda www.ciafactbook.com wameweka mambo ya unafiki hadharaniWeka link tusome usilete stories za gahawa