Nchi tisa zinazomiliki silaha za nyuklia duniani pamoja na idadi

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
393
731
NCHI TISA ZINAZOMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI PAMOJA NA IDADI

Na Thabit Karim Muqbell

Kufikia mwaka 1986 idadi ya silaha za Nyuklia zilifikia 70,300. USA na USSR pekee walikua wakimiliki zaidi ya silaha 68,000. idadi hii imepungua na kufikia 15,350 kwa mwaka 2016 huku zaidi ya 14,000 zikimilikiwa na Russia na USA.

Kupungua huko kumetokana na mikataba kadhaa ya kutokomeza silaha za Nyuklia km SALT 1 na SALT 2 pamoja na kuisha kwa Vita baridi miaka ya 1990. Kwa sasa Russia ndio anayeongoza huku North Korea ikiwa n nchi ya mwisho. Listi iko hivi

1. Russia (7500)
2. United States (7260)
3. France (300)
4. China (260)
5. United Kingdom (215)
6. Pakistan (120)
7. India (100)
8. Israel (80)
9. North Korea (8)
6852392419133ce34af856563defeef4.jpg
 
Shetani na wafuasi wake watu wa Mungu wanagundua Upendo, Amani, Utu wema Fadhili na mengine yanafananayo na hayo.
Hao ndio materorist.... Haya masilaha sio ya kuulia binadamu bali Ya kuangamizia binadamu.... Lakini kwa mapenzi yetu tunawaona hao ndio magentle men... Haya tutajua siku ya mwisho.... mwongo na mkweli
 
Back
Top Bottom