Nchi tisa zinazomiliki silaha za nyuklia duniani pamoja na idadi

Mi nilitamani south korea wawe nazo ili wahimili vishindo vya North Korea
 
India ni nchi yenye wanasayansi wengi ase usiwadharau wamewekeza kwenye sayansi na Teknilojia

Siyo tu Nucleur pia wana satellite na bado wanaunda satellite yao yenye uwezo mkubwa waweke angani..pongezi kwa aliyekuwa Rais na mwanasayansi wao Abdul Kalam ndiye aliyeifanya India iwe na Nucleur ..pia India hawakuwekewa vikwazo sabb ya mhasimu wake Pakistan anazo Nucleur sasa kila mmoja akiwa nazo heshima itakuwepo

Germany walikuwa wanadevelop Atomic bomb ,tatizo ni pale Hitler alipochukua uongozi akawa analeta Sera zake za kijinga ,wanasayansi wengi walikimbia na kwenda USA na uingereza ..Einstein na wenzake ndio waliofundua fission ktk tafiti zao za kutengeneza atomic lkn mwishoni USA ndio alifaidi sabb ya uchizi wa Hitler ,baada ya vita ya pili Germany walizuiliwa kutengeneza ..lkn Ujerumani saizi wanao uwezo wa kutengeneza lkn wamekubali kutotengeneza
.

Mistake alifanya Hitler

Swadakta. Umenena mkuu. Einstein na wenzake ambao walikua ni fundamental ktk nuclear physics walikimbia ujerumani na kwenda usa
 
Vijana wetu mara kadhaa wanakamatwa wakiwa na mabomu ya kienyeji, wakipata uranium wanaweza wakaunda vyombo zaidi ila ndiyo hivyo tena hatujazoea kubuni tumezoea kununua.
Kutengeneza mabomu ya molotov km watanzania wanavyofanya si rahisi km kutengeneza atomic bom.
 
India ni nchi yenye wanasayansi wengi ase usiwadharau wamewekeza kwenye sayansi na Teknilojia

Siyo tu Nucleur pia wana satellite na bado wanaunda satellite yao yenye uwezo mkubwa waweke angani..pongezi kwa aliyekuwa Rais na mwanasayansi wao Abdul Kalam ndiye aliyeifanya India iwe na Nucleur ..pia India hawakuwekewa vikwazo sabb ya mhasimu wake Pakistan anazo Nucleur sasa kila mmoja akiwa nazo heshima itakuwepo

Germany walikuwa wanadevelop Atomic bomb ,tatizo ni pale Hitler alipochukua uongozi akawa analeta Sera zake za kijinga ,wanasayansi wengi walikimbia na kwenda USA na uingereza ..Einstein na wenzake ndio waliofundua fission ktk tafiti zao za kutengeneza atomic lkn mwishoni USA ndio alifaidi sabb ya uchizi wa Hitler ,baada ya vita ya pili Germany walizuiliwa kutengeneza ..lkn Ujerumani saizi wanao uwezo wa kutengeneza lkn wamekubali kutotengeneza
.

Mistake alifanya Hitler
Asante mkuu
 
Vp khusu Italy?
 
Tatizo lako ni kujifanya kwamba hujui kuwa siri kamwe haiweze ikakwa ni habari ya halaiki kama hii tuisomayo hapa.

Na washawasha!

Tatizo la Watanzania ni hili....

Unapingaje habari bila ya kuwa na mbadala wa habari.....

Kwa wenye akili maana yake habari ya uongo inazimwa na hanari ya ukweli.....
 
Tangu waliposhindwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Ujerumani na Japani hawaruhusiwi kuwa na silaha nzito kama za nuklia.
sikwamba hawaruhusiwi but walijikataza wenyew ili kusafisha image zao chafu..japan walishasema km wakihitaj nuclear basi itawachukua c zaid ya mwaka mmoja kutengeneza kwakuwa wanakila kitu kinachohitajika ikiwemo teknoljia........
 
Back
Top Bottom