Kaka mbona nimejumlisha nimepata total tofauti? Ni 15,843NCHI TISA ZINAZOMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI PAMOJA NA IDADI
Na Thabit Karim Muqbell
Kufikia mwaka 1986 idadi ya silaha za Nyuklia zilifikia 70,300. USA na USSR pekee walikua wakimiliki zaidi ya silaha 68,000. idadi hii imepungua na kufikia 15,350 kwa mwaka 2016 huku zaidi ya 14,000 zikimilikiwa na Russia na USA.
Kupungua huko kumetokana na mikataba kadhaa ya kutokomeza silaha za Nyuklia km SALT 1 na SALT 2 pamoja na kuisha kwa Vita baridi miaka ya 1990. Kwa sasa Russia ndio anayeongoza huku North Korea ikiwa n nchi ya mwisho. Listi iko hivi
1. Russia (7500)
2. Unites States (7260)
3. France (300)
4. China (260)
5. United Kingdom (215)
6. Pakistan (120)
7. India (100)
8. Israel (80)
9. North Korea (8)
Hakuna kitu , mange kimambi wamemshindwa kumkamataTZ ndio nchi yenye jeshi lenye siri kuliko nadhani zote barani. Wanakusubiri tu wewe unaechokonoa habari zake ili uzipeleke nje.
Achana na habari za kwenye vijiwe vya kahawaTZ ndio nchi yenye jeshi lenye siri kuliko nadhani zote barani. Wanakusubiri tu wewe unaechokonoa habari zake ili uzipeleke nje.
Mtikufu akiona hii post ataghadhabikambona 'sisi' hatumo ina maana ikitokea vita hatuna uwezo wa kujibu mashambulizi.. hii ni hatari sana basi tuwe nako hata kamoja
North Korea hana 8 tuu mkuuNorth Korea na mbwembwe zake wanamiliki silaha 8 za Nyukilia ? Source ya habari ni nini ? Halafu siri za majeshi yao si wanaficha ?
India ni nchi yenye wanasayansi wengi ase usiwadharau wamewekeza kwenye sayansi na TeknilojiaIndia anayo na Ujerumani HAKUNA?
~Cmb
Baada ya kushindwa vita ya pili ya Dunia walizuiwa ....Duhh German na kuwa super economy ulaya hana? Japan pia hana? Au hii list sio yote?
Kuna aliyesema tunamtafuta huyu Malaya wa kujianika hadharani. Kwanza hiyo sio kazi ya jeshi. Jeshi letu ni LA ulinzi.Hakuna kitu , mange kimambi wamemshindwa kumkamata
Habari za kusadikika hizi. Vinginevyo tuambiwe neno siri halipo tena na maana yake imebadilika na kuwa mambo yote hadharani.
Na washawasha!
Mkuu sisi hata ndege za F-35 ambayo moja ni kama Tsh.210 Billion hatuna...mbona 'sisi' hatumo ina maana ikitokea vita hatuna uwezo wa kujibu mashambulizi.. hii ni hatari sana basi tuwe nako hata kamoja
Mkuu Tanzania huwa tunaorodhesha pale uwanja wa uhuru siku ya maadhimisho....Hizi taarifa kazitoa CIA fact book ambapo fact nyingi zimechakachuliwa. Unategemea mtu wa kawaida ajue military secrets za China au Russia au hats Tanzania ? No way.
Data za uwongo,Iran uwez kumwacha kisport sportIran hana hata 1!
Hujafuatilia mkuuTZ ndio nchi yenye jeshi lenye siri kuliko nadhani zote barani. Wanakusubiri tu wewe unaechokonoa habari zake ili uzipeleke nje.