Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Mkuu unafahamu kwamba LIBOR imepanda?Mkuu Nchi inapoomba mkopo, kitu kimoja kinachoangaliwa na Banks/Financial Institutions ni Current Economic Status ya nchi husika.
Tanzania kwa sasa deni letu lina approach 50Tril.
Hakuna Institution inayoweza ku risk kukopesha Nchi ya namna hii.
Ndio maana unaishiwa kupewa ma interest rate makubwa, utapewa muda mfupi wa kulipa huo mkopo etc Etc. Hiyo yote kukudiscourage usepe ukakope kwingine.