Nchi nzuri hii we acha tu!

Nchi nzuri hii we acha tu!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Maji yapo lakini hayatoki>>>Mafuta yapo lakini hayauzwi>>>Mafisadi wapo lakini wanaangaliwa tu>>>Magamba yapo lakini hayabanduliwi,yaani raha kwa kwenda mbele!
 
Mvua zipo umeme haupo, ndege ya !!!!! ipo madawat shule za kata hamna, vijisent vipo haki haipo, handsom yupo maamuz magumu hayapo au ndo 2nasubiri maamuz magumu...?
 
Back
Top Bottom