Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
mfano mzuri ni shinyanga,simiyu,na baadhi ya maeneo ya mwanza.Serikali ya Hapa Kazi Tu isipolichukulia hatua suala hili, watakuwa kichekesho.
Haiwezekani watu fulani tu toka sehemu zile zile wakaranda randa nchi nzima kutafuta malisho.
Huku nyuma wameiharibu kabisa ardhi yao.
Inabidi kule walikotoka wairejeshe ardhi waliyoiharibu tunaishi kama tuko middle ages!
Unapoongelea nchi ya viwanda lazima uje na scientific approach ya utatuzi wa matatizo. Ardhi kwenye mikoa ya wafugaji bado haijaguswa kiasi cha kuhalalisha kuhamahama kwao.Serikali ya Hapa Kazi Tu isipolichukulia hatua suala hili, watakuwa kichekesho.
Haiwezekani watu fulani tu toka sehemu zile zile wakaranda randa nchi nzima kutafuta malisho.
Huku nyuma wameiharibu kabisa ardhi yao.
Inabidi kule walikotoka wairejeshe ardhi waliyoiharibu tunaishi kama tuko middle ages!
Unamuandiko mzuri, ila hapo kwenye kushuka bei ya sukari naomba upafanyie masahihisho. Tanzania hii hata ardhi yote ingelima miwa kamwe tusitegemee kushuka kwa bei ya Sukari. Mifano ipo wazi, mpaka naogopa kutonesha kidonda/jeraha wakati bado ni bichi kabisa. Labda tumuulize Waziri mkuu aliishia wapi na "singeli" yake ya sukari, maana naona sasa hivi kaamia kwenye korosho.Jana taarifa ya habari ya ITV imeonyesha hasara waliyopata wamiliki wa shamba la miwa huko Mtibwa. Kwa mujibu wa aliyehojiwa ambaye inaonekana ni msimamizi wa shamba hilo, hasara waliyopata ni ya shilingi milioni 800.
Wingi wa miwa ambayo ingevunwa na kuingizwa kwenye mchakato wa upatikanaji wa sukari, kwa namna moja au nyingine ungesababisha kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo muhimu.
Hapa tunaongelea hasara waliyopata Mtibwa, hatujaongelea mateso wanayopata wakulima wengine wengi tu wenye kutumia nguvu nyingi katika kulima na kupanda mazao halafu ghafla tu ng'ombe wanaingia na kuharibu kila kitu.
Haipendezi hata kidogo kuona nchi nzima inageuzwa kuwa mali ya wafugaji na mifugo yao. Natambua ukame wa baadhi ya maeneo ya wafugaji. Kwa kukatiza tu na gari pale Monduli mtu anauona ukame halisi, hapo bado haujatembea katika maeneo mengine yenye shida kubwa sana ya maji na nyasi.
Waziri wa kilimo na wasaidizi wako, tunakoelekea kwenye nchi ya viwanda, tunakwenda kwenye maisha ambayo wawekezaji wa ndani ya wa nje hawatakubaliana na hasara zitakazotokana na uholela wa uchungaji ambao umekuwa na mateso makubwa kwa wakulima wasio na hatia.
Lifanyike jambo na lifanyike mapema iwezekanavyo. Leo Mtibwa wanadai kuingia hasara ya milioni 800, kesho atakuja muwekezaji na kudai kupata hasara ya mabilioni ya shilingi na hatakubaliana na majibu yoyote ya kutaka kumridhisha ili suala liweze kumalizika kwa amani.
Mkuu huko kwenye kuvaa umeenda mbali sana, maana pasipo hata mlo bora, nguvu ya kufanya hizo kazi nayo hamna. We uliza bei ya Nyama kwa kilo ni shilingi ngapi?mifugo yenye thamani ya mamia ya matrilioni inazurura tu,watanzania wanavaa yeboyebo za plastiki wakati raslimali ya ngozi ipo
watanzania wanatembea wamevaa ndala za bata ambazo ni plastiki,ngozi zipo.
makumi ya mamilioni ya ngombe,hakuna kiwanda cha maziwa.
wizara ya ardhi ilitakiwa iwe na kanda maalum ambazo ingeunda kwa kushirikiana na wizara nyingine,kama polisi walivyofanikiwa Tarime na Dar
yale maeneo korofi yaundie kanda maalum,yapelekee fedha na wataalam,yape deadline yaandae mipango bora ya matumizi ya ardhi,wakati huo huo maafisa kilimo wanaingia huko na kupeleka nyasi bora,elimu n.k,huko umasaini,morogoro,manyara,mbeya na kwingineko
Mkuu tatizo kubwa la suala la malisho ya wanyama wa waafugaji ni the disguised population migration , katika form ya kutafuta malisho.huwa naisikia wizara ya ardhi inapima na kugawa viwanja vya makazi,biashara,viwanda.
sijawahi kuisikia inagawa mashamba hata kama ni eka tanotano tu.
Hili jukumu wamemuachia nani?
ukiitaifisha unatumia sheria gani?maana hata ardhi ya mtu ukichukua sharti ulipe fidia,ukishataifisha unapeleka wapi?Jsamani Suluhisho ni kutaifisha mifugo yote itakakamatwa ikilishwa kwenye mashamba. hawatrudia, tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Mkuu turudi kwenye issue ya wafugaji hiyo "singeli" umeiongelea kwa dharau kuliko kutoka mchango wa kujenga kitu kipya.Unamuandiko mzuri, ila hapo kwenye kushuka bei ya sukari naomba upafanyie masahihisho. Tanzania hii hata ardhi yote ingelima miwa kamwe tusitegemee kushuka kwa bei ya Sukari. Mifano ipo wazi, mpaka naogopa kutonesha kidonda/jeraha wakati bado ni bichi kabisa. Labda tumuulize Waziri mkuu aliishia wapi na "singeli" yake ya sukari, maana naona sasa hivi kaamia kwenye korosho.
Jana taarifa ya habari ya ITV imeonyesha hasara waliyopata wamiliki wa shamba la miwa huko Mtibwa. Kwa mujibu wa aliyehojiwa ambaye inaonekana ni msimamizi wa shamba hilo, hasara waliyopata ni ya shilingi milioni 800.