Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,926
- 33,758
naisubiria namba 1
Najua namba moja ni Nigeria na mbili ni Gambia lile chimbo la Bashite na Marope.
Ni uamuzi wako kuifuatilia mada au kuachaMtoa mada umenifanya nikuweke kundi la watu shallow mind JF yani mada zako ni listing lakini badala ya kulist kwenye original post unaziweka kama comments!.
Hivi mfano namba 5-1 zikianzia kurasa ya 45 utakuwa umeitendea haki thread yako!?.. Sio wote tunasoma kila comment bana!..
Badirika!.
Iandike pembeni mada nzima fanya kuihamishia huku!.. Unapoteza audience kwa ujinga wa kichwa ngumu!.Ni uamuzi wako kuifuatilia mada au kuacha
Jf option ya kuedit post inayoanzisha mada haipo(zamani ilikuwepo) sasa unafikiri itakuwa jambo jepesi kuabdika post 1 ndeefu kama treni ?
Joss Whedon aliwahi sema "I'll take crazy over stupid any day."Siwezi kufanywa hivyo
Kupoteza audience kama unavyodai hainipunguzii chochote kwabi audience ikiwa kubwa nitalipwa ?
Roman catholic ehhBrazil hawezi kuwepo hata 50 ora
Ni mojawapo ya taifa la wafia dini orijino