Nchi itapata hasara gani tukifuta bunge?

Sheria atatunga nani? Bajeti atapitisha nani?
Una uhakika Kuna mbunge wa kuzuia bajeti ya wizara au taasisi yoyote isipita!? Una uhakika Sheria wanazitunga wao kweli!? Hao wa kuhakiki bajeti na Sheria ziwe za maslahi ya wananchi ndo hawa hawa kina Waitara au Kuna wengine! Bunge hili hili linaloongozwa na spika aliyejipanga kumtoa kwenye reli mchangiaji anayetoa maoni mbadala au unamaanisha lipi?
 
Bila machafuko, hili bunge kibogoyo litaendelea kuwepo sana, na litapitisha mambo ya hatari kama haya.
mbona kipindi cha JPM mlifyata mkia mlivyoambizana mnataka kuingia barabarani
 
Unadhani kuingia barabarani kwa kukabiliana na askari wenye silaha za moto ni sawa na mikusanyiko ya mbio za mwenge? Ukitaka kujua kuingia barabarani kuna hitaji ushujaa mkubwa, ungemwambia huyo JPM akae mbele na familia yake bila silaha kuwakabili waandamanaji.
 
bandari inakwenda kuwa ya mitambo mitupu rafiki yangu unambiwa sasa dubai yamia TZ neema iliyoje kwa vizazi na vizazi
 
Hizi porojo zilikuwa hata enzi za fursa ya gas ya mtwara. Watu wakanunua hadi maeneo kwa ajili ya kuwekeza, nenda leo mtwara uone hata kama kuna banda la mama ntilie linalomilikiwa na mama Salma Kikwete.
 
Zamani nilikuwa najua wabunge ni watu smart sana na wanahitaji heshima

Kumbe pumba ya mshudu ya nguruwe
 
Hizi porojo zilikuwa hata enzi za fursa ya gas ya mtwara. Watu wakanunua hadi maeneo kwa ajili ya kuwekeza, nenda leo mtwara uone hata kama kuna banda la mama ntilie linalomilikiwa na mama Salma Kikwete.
bandari si gesi buda,gesi ni machimbo yale mkuu
 
Hizi porojo zilikuwa hata enzi za fursa ya gas ya mtwara. Watu wakanunua hadi maeneo kwa ajili ya kuwekeza, nenda leo mtwara uone hata kama kuna banda la mama ntilie linalomilikiwa na mama Salma Kikwete.
Kuna baadhi ya watanzania wameshalisahau hili, na hawa ndo wanatufanya tuonekane hatuna akili. Gesi ya mtwara walivyotuaminisha tunaenda kuwa matajiri usingedhani hao hao waliosema hivyo ndio wameshindwa kutengeneza madawati ya kutosha Kwa wanafunzi wote, madarasa ya kutosha na wananchi kulia ukosefu wa dawa na gharama za juu za afya
 
Mkuu! Hawakodishi bandari, bali wanauza bandari kwa mkataba usio eleweka
 
Kwakuwa wakwenu waligaragzwa mchana kweupee, ndio maaana unaona bungee halina .maana.
waligalagazwa kwa ujambaz na uporaji matokeo yake jambazi la kura tukamuomba Mungu aliuwe na kweli akaliuwa saivi limeoza limebaki mifupa tu na mama yenu akipora uchaguz 2025 Mungu tutamuomba amnyooshe na lazima atanyooshwa bwege wewe.
 
Kama kulikuwa na ujambazi wa kula, unashindwaje kwenda mahakamani kufungua kesi na huku ukiwa na ushaidiii? Kubalini tuuu mligaragazwa kisawasawa, ndio maana mpunga wa ruzuku mnagonga bila nomaa
 
Baada ya kufuatilia mjadala wa bunge walipokuwa wanajadili azimio la kukodisha bandari nimejikuta nawaza kama Kuna hasara yoyote tutaipata kama taifa tukiamua tulifute bunge

Najaribu kufikiri kama kushauri tu wanashindwa, kama kutoa maoni mbadala wanashindwa, watapata wapi courage ya kukosoa au kusimamia serikali? Pigia mstari kusimamia serikali au liite ku - supervise the government halafu tafsiri kwamba anayesimamia ana elements za u Boss! Yaani hili bunge ndo liwe Boss Kwa serikali!!!! Vichekesho Kwa kweli

Msiniulize maswala ya matakwa ya Katiba au mambo gani gani ya kimataifa Wala protokali gani sijui mifumo ya nchi upuuzi gani

Najaribu tu kuwaza maana sioni faida ya hawa watu zaidi naona watu wazima wakijidhalilisha mbele ya watoto na wajukuu zake.

Hizi fikra za kishetani zimegoma kutoka labda mniombee
Ndiyo madhara ya kuwa na bunge la kutochaguliwa na wananchi
 
Kulifuta Bunge au kulivunja?

Likivunjwa leo je, tumejiandaa na uchaguzi wa kuleta viongozi wapya au kitarudi kizazi kile kile?

Je, Bunge jipya litaruhusiwa kuondoa au kurekebisha mkataba wa DP World?

Djibouti kuna kesi kubwa baada ya serikali kufanya U-turn kwy mkataba wa DP World. Fidia inayodai DP World kwa serikali ya Djibouti kuvunja mkataba ni zaidi ya thamani ya nchi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mzee hujanielewa, namaanisha kulifuta kabisa sio kulivunja! Yaani sisi kama nchi tusiwe na bunge tuwaache mawaziri na makatibu wa wizara watajua wenyewe Cha kufanya.

Nisaidieni faida tunazojivunia sisi kama Taifa Kwa kuwa na wabunge hawa tulionao
 
Baada ya kufuatilia mjadala wa bunge walipokuwa wanajadili azimio la kukodisha bandari nimejikuta nawaza kama Kuna hasara yoyote tutaipata kama taifa tukiamua tulifute bunge

Najaribu kufikiri kama kushauri tu wanashindwa, kama kutoa maoni mbadala wanashindwa, watapata wapi courage ya kukosoa au kusimamia serikali? Pigia mstari kusimamia serikali au liite ku - supervise the government halafu tafsiri kwamba anayesimamia ana elements za u Boss! Yaani hili bunge ndo liwe Boss Kwa serikali!!!! Vichekesho Kwa kweli

Msiniulize maswala ya matakwa ya Katiba au mambo gani gani ya kimataifa Wala protokali gani sijui mifumo ya nchi upuuzi gani

Najaribu tu kuwaza maana sioni faida ya hawa watu zaidi naona watu wazima wakijidhalilisha mbele ya watoto na wajukuu zake.

Hizi fikra za kishetani zimegoma kutoka labda mniombee
Itakuwa ni faida kubwa
 
Back
Top Bottom