Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,380
Punguza pressure, mkuu maana kila likibandikwa andiko la ICC naona unapata tabu Sana ,msanii bamboo aliwai sema ,anaogopa uku anacheka, Sasa mkuu Kama jina lako lipo Kati ya yaliyotumwa huko, anza kuwa sawa mipango ya familia yako, kabla ya kuanza safari za uko andaa na wanasheria eazoefu, utakutana na virungu vya sheria sio vya dunia hii,na mwisho utalia peke yakoAisee,
Chadema mna msongo wa mawazo.
Poleni sana makamanda.
mnaumia sana lakini sasa mtafanyaje,JPM mwenyewe hata kelele za icc azizungumzii wala anahata abari,ndo kwanza anawaongezea kuwapiga spana mpaka mjambe cheche.
Mkuu ICC siyo balaza kuu la bawacha.Punguza pressure,mkuu maana kila likibandikwa andiko la ICC naona unapata tabu Sana ,msanii bamboo aliwai sema ,anaogopa uku anacheka, Sasa mkuu Kama jina lako lipo Kati ya yaliyotumwa huko ,anza kuwa sawa mipango ya familia yako, kabla ya kuanza safari za uko andaa na wanasheria eazoefu, utakutana na virungu vya sheria sio vya dunia hii,na mwisho utalia peke yako
Dreaming work
Mwafaa nakwambiaMkuu ICC siyo balaza kuu la bawacha.
Kwani mkuu ukijibu swali lake ni kuwa kinyeo chako kitapanuka sana kuizidi shafti ya mumeo kiasi kwamba atakupa talaka? Jikite kwenye hoja bibie!Aisee,
Chadema mna msongo wa mawazo.
Huwa wanasambaza arrest warrant kwa nchi zote duniani. Ukijiloga kutembelea moja wapo tu na wakakunawa unashangaa umekamatwa na unapakiwa kwenye ndege hadi UholanziNaomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?
Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?
Mwenye majibu atusaidie.
Kwani mkuu ukijibu swali lake ni kuwa kinyeo chako kitapanuka sana kuizidi shafti ya mumeo kiasi kwamba atakupa talaka? Jikite kwenye hoja bibie!Aisee,
Chadema mna msongo wa mawazo.
You can run but you can't hide
Lazima ufe kwa msongo wa mawazo Safari hii. Hizo tuhuma zilizopo Icc si mchezoMkuu ICC siyo balaza kuu la bawacha.
Ukijifungia ndani milele?Huwa wanasambaza arrest warrant kwa nchi zote duniani. Ukijiloga kutembelea moja wapo tu na wakakunawa unashangaa umekamatwa na unapakiwa kwenye ndege hadi Uholanzi