Nchi isipotii amri ya viongozi wake kufika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, huchukuliwa hatua gani kulazimisha?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.

Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?

Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?

Mwenye majibu atusaidie.
 
Mkuu Kuna kitu kinaitwa invisibo -mwewe wakitumwa hawa hata uwe pangoni 100km ardhini UNANYAKULIWA kama kifaranga
 
Aisee,

Chadema mna msongo wa mawazo.
Punguza pressure, mkuu maana kila likibandikwa andiko la ICC naona unapata tabu Sana ,msanii bamboo aliwai sema ,anaogopa uku anacheka, Sasa mkuu Kama jina lako lipo Kati ya yaliyotumwa huko, anza kuwa sawa mipango ya familia yako, kabla ya kuanza safari za uko andaa na wanasheria eazoefu, utakutana na virungu vya sheria sio vya dunia hii,na mwisho utalia peke yako
 
Punguza pressure,mkuu maana kila likibandikwa andiko la ICC naona unapata tabu Sana ,msanii bamboo aliwai sema ,anaogopa uku anacheka, Sasa mkuu Kama jina lako lipo Kati ya yaliyotumwa huko ,anza kuwa sawa mipango ya familia yako, kabla ya kuanza safari za uko andaa na wanasheria eazoefu, utakutana na virungu vya sheria sio vya dunia hii,na mwisho utalia peke yako
Mkuu ICC siyo balaza kuu la bawacha.

Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.

Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?

Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?

Mwenye majibu atusaidie.
Huwa wanasambaza arrest warrant kwa nchi zote duniani. Ukijiloga kutembelea moja wapo tu na wakakunawa unashangaa umekamatwa na unapakiwa kwenye ndege hadi Uholanzi
 
Omar Al Bashir tangu mauwaji yaliyotokea kagoma kwenda ICC
Amehudhuria mikutano na nchi husika waligoma kumsalimisha kwa ICC
Hebu jiridhishe kumsoma
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom