Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?
Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?
Mwenye majibu atusaidie.