At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,552
Acha kutumia hisia.Mkuu Kuna kitu kinaitwa invisibo -mwewe wakitumwa hawa hata uwe pangoni 100km ardhini UNANYAKULIWA kama kifaranga
Jibu kwa hoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutumia hisia.Mkuu Kuna kitu kinaitwa invisibo -mwewe wakitumwa hawa hata uwe pangoni 100km ardhini UNANYAKULIWA kama kifaranga
Mkuu,Mbona unalia mkuu?
Tambua mkuu bila kupata usaidizi Jiwe hataachia madaraka mkuu, muda ni mwalimu mzuriMkuu,
Siwezi lia hicho unachokihitaji kinasutwa na utamaduni wa Mtanzania halisia labda wale 4G kutokana na utandawazi
Laiti ingekuwa unasemea kwa nchi nyinginezo hapo ungeeleweka vizuri tu bila tashwishwi.
Takwa hilo unalolitamani litokee ni kama kushika bunduki unajielekezea mtutu kwako sasa sijui kama umejitoa ufahamu pindi ikifyatuka kinyume na ulivyohitaji ielekee. Ni hilo tu mpiganaji
Aisee!!ICC hawana mchango wowote kwa kilichomtokea Bashir huko Sudan
Watatumwa wale wasiojulikana watashuka ubalozini mwao hapa nchini kumsaka mhalifu waoNaomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani.
Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda kizimbani?
Je, nini nafasi ya International Criminal Police Organisation (interpol )katika kusaidia hii mahakama kutekeleza majukumu yake?
Mwenye majibu atusaidie.