Nchi inapoongozwa na aliyeko nyumbani, na aliyeko ofisini hajui cha kufanya

Aliyeko ofisini na mwingine wa nyumbani tayari ni watu wawili kwa hiyo nguvu inakuwa ya watu wawili wanaendesha nchi nguvu inakuwa kubwa ndiyo tutafika kwenye maendeleo kwa haraka kuliko angekuwa mtu moja.
 
Nimetafakari sana na kuona kweli 2024 mbali,,,subirin hili fukuto likoke moto kwanza then jibu litakuja kabla ya 2024 tena mapema sanaa,,na nitawapa ukweli nini kitakachojili vzur,,

Lakin niwambie ukweli ,,kama mama angeendelea na system ya Magu hiyo ndio ingembeba na hiyo ndio ilikua sahihi kwake,,ameingiza wahuni bila kujua Magufuli alibebwa na upande upi wa kura katika hii nchi,

Kiufupi,,waliombeba Magu ni team Lowasa,,mama kawaondoa asilimia kubwa na ndio walikua na comflict of interest na mzee wa msoga tangu enzi za Kalamagi,Msabaha,Lowasa na hatimae Rostam Aziz,,

Pili mama kapoteza imani kwa kanda ya ziwa nzima bila yeye kujua na hapo ndipo ilikua turufu yake,,hutaweza kuelewa siku zijazo utaelewa,,

Tatu,,system ambayo ingempa nguvu mama ndani ya chama ilikua ni kumuacha Polepole abaki kama msemaji wa chama,,kafanya kosa kubwa kumuweka yule kijana ambae hana ushawishi mkubwa wa kisiasa na haiwez siasa ya fitina,,kama hulioni hilo utajua muda sio mrefu,,,sio kwamba Ndugai hajui anachokifanya,,anajua sana na anajua ni kwann sasa hiv Dodoma inafifuia wakat Magu aliifufua,,

Mwisho nasema,,baada ya mama ambae tunaamin kila atokapo muislamu anakuja mkiristo,,au akitoka mkiristo anakuja muislamu basi baada ya mama muislam anayekuja ni muislam tena,,tena atakua na nguvu kama ya Magu na siku zijazo nitawambia,,ila kwa sasa tuache fukuto lipigane,,na niwambie bado system ya Magu itamsumbua mama tena sanaa maana ameonekana kwenda kinyume na mwenzake,,ila kule mama anakoegemea hawana nia njema nae japo yeye hajui,
Rashidi wa kawe!?Juma awesu na Abdala ulega nani!!?

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Mkuu bado fukuto linaendelea kufukuta?

Tupe mrejesho wa kinachojiri mpaka sasa ikiwa itakupendeza, naona last seen yako ilikuwa jana.
 
Sisi wavuja jasho na walala hoi tuna imani mwamba wetu Magu alishaweka misingi, wahuni wote ni suala la mda tu kwisha habari zao, tupo tunawasikilizia tu kuanzia mwaka 2014 ndio mtaijua nguvu ya mwendazake kwamba kumbe pamoja na kwamba amekufa ila idelogical yake bado inaishi kwa wafuasi wake
WAHUNI KWAO UZALENDO NI MAFIII
 
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA

Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili baadae niweze kutumia maudhui yake katika kujibu moja ya swali la mtihani ambalo ningekutana nalo, lakini sikuwahi kukielewa kile kitabu hata siku mona kuwa kilikua kina tafsiri nini??

Niliwahi kusema kuwa baada ya utawala wa awamu ya nne basi nchi ya Tanzania itatawaliwa kidictator na sina imani kama ilitokea au haikutokea

Ila wiki mbili zilizopita nilisema mama yetu ameingizwa mkenge na washauri wake bila yeye kufahamu, na mara nyingi utawala wa nchi yoyote ni mfumo na ndani ya mfumo kuna watii wa kweli na watii wa uongo, japo watii wa uongo kwa sura ndio wanakua wa kwanza kukupamba maneno matamu na kukushauri zaidi kuliko watii wa kweli

Mama aliingizwa mkenge kubadili baadhi ya mawaziri na aliingizwa mkenge na sasa nguvu ya mfumo kwake imelegea na hatimae magenge yameingiza watu wake kwa lengo la baadae bila mama kujua, leo mfumo umeanza kugawanyika bila yeye kufahamu kwanini unagawanyika, kuna wanaomwambia anaipoteza nchi na hatimae nchi itauzwa, kuna wanaomwambia anakopa bila sababu za msingi, kuna wanaoongoza nchi wakiwa nyumban huku yeye hajui

Nilisema mwaka 2024 nitatoa mwelekeo sahihi wa kijacho ndani ya nchi hii
🤔🤔
 
Ufumbuzi ni kutoa battery za remote, itabidi badala ya kukaa kwenye kochi ukisinzia uamuke kwenda kuwasha, kuzima na kubadili channel. Kama hutatoa battery, basi remote chapa mzoga itazidi kufanya kazi zake huko kwenye runinga, huku mwenyewe ukiwa unaupiga mwingi kwenye sofa sebuleni.
Hii yetu ni remote malaya mkuu
 
Ni sawa na kile chama kinachoongozwa na yule mzungu baharia amstedam akishirikiana na lile tundu la kisu. Akisema mashoga waachwe wafanye ushenzi wao chama kinatoa tamko la kupinga oparation ya mashoga, akisema mwenyekiti wa chama hicho aendelee kukaa jela ili apate ya kuongea kwa mahabaria wenzake chama kinatoa tamko kuwa mwenyekiti wao asiachiwe na wala usiombwe msamaha wowote kwa yule anaetaka kumuachia, akisema wapambe na wanachama wa chama anachodhamini waingie barabarani kutaka sheria ya ndoa za mashoga basi chama kinaanza kupambana na serikali ili ipitishe haki na sheria za mashoga kufunga ndoa. Hapo sijazungumzia uuzaji wa madawa nk. Yani chama kipo Tanzania lkn muongozaji wa sera za chama yupo Ulaya. So kwa nchi hii ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Nje ya mada ndugu Chawa
 
Nje ya mada ndugu Chawa
Kumbe na wewe ukikosa sifa za kumpamba Abubakar wako, huwa unakimbilia huku kufukua makaburi 😂😂😂

Tunasubiri chopa ifungwe matairi ili wewe na Abubakar wako mrudi tena kwenye headline za mitandaoni 🤣🤣
 
Unaposema “kaingizwa mkenge“ unamaanisha nini ? Kwamba hajui kinachoendelea ?
Kwamba hajui hatuna umeme wala maji?

Acheni kudanganya watu, kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa kiende, ulishajiuliza kwa nini Upinzani uko na Samia kwenye kila kitu? Uliona wapi Dunia hii Opposition parties wanakubaliana na Serikali kwa 100% ? Kwa nini sasa wanaitwa Opposition wana oppose nini ?
Fafanua hapo kwenye "wanakubaliana na serikali kwa 100%,,,,"
 
Back
Top Bottom