Nchi inakoelekea kunatisha

Kwani mwanzo walikuwa wanapata wapi hela yao?
Mbona makato yalikuwepo.
Yaani makampuni ya simu wanalipa Kodi,ukitoa hela unakatwa ada,
Hapo hapo inaingia" TOZO YA SERIKALI"
hata Kama kulipa Kodi huu ni uonevu.
CHUKUA UNACHOSTAHILI.
Unachostahili ni kipi!?
 
Ni aibu kwa rais mwanamke kubehave like some of those cruel African men presidents!!
 
Reactions: BAK
Unachostahili ni kipi!?
"ADA YA MIAMALA"
ambapo ndani yake kuna kodi ya serikali.
Sio huo utapeli wa TOZO.
makampuni ya simu yanalipa Kodi,wakala analipa Kodi,mteja analipa Kodi.
Bado unamuongezea na too kweli?.
tena nje ya ada ya kufanya muamala

Yaani ada ipo peke yake na tozo ipo peke yake.inaumizA Sanaa Bora wangeunganisha
 
Acha tu, 4 trilioni na upuku puku pensheni za wafanyakazi zimeliwa na dola, mandege yasiyo na faida kwa wengi na tunalzimishwa kusherekea huku kumtua ndoo ya maji mama hatujafanikiwa, masafari ya ndege kama yote kwa viongozi kama washamba, kukatika kwa maji na umeme kwa kwenda mbele, kurudishwa kwa mafisadi na wezi bodi ya TANESCO, bei ya petroli kupanda na kufanya bei za vyakula kuanzia sukari, mafuta ya kupikia, nyama, mazagazaga kupanda, kukosa hela serikalini na kulazimisha matozo kem kem kufidia matumizi na maisha ya kifalme kwa viongozi. MAISHA BONGO YANATISHA
 
Nakuuliza wewe kubwa la ma taahira,onyesha nchi hata 3 za Kiafrika zilizo na maendeleo kama Asia au Ulaya..

Kwanza ulivyo mpumbavu umekariri ujinga kichwani kwamba kuishi kwenye compound Moja na mahakama ndio kujua sheria?

Kwa taarifa yako matatizo mengi ya Kiafrika sio ya ndani bali mfumo usio sawa wa uchumi Duniani..

Kwa akili yako finyu nitajie mambo ambayo hayajafanyika na Waafrika ambayo yamesababisha maendeleo haba kiasi kwamba wapuuzi nyie machadomo mkiwa viongozi yatafanyika na nchi itapaa kama Ulaya na uniambie time frame yenu maana umekalia udikteta tuu wakati Libya kulikuwa na Nafuu na ushenzi unaoitwa demokrasia haukuwepo.
 
Ni aibu kwa rais mwanamke kubehave like some of those cruel African men presidents!!
Na bado mtanyooka kumbe mlitegemea mteremko kwa vimaneno vyenu vya kijinga kwamba mwanamke ni dhaifu sasa anawapelekea moto mnajamba Jamba tuu kwenye vyumba vyenu hamna cha kufanya πŸ˜‚πŸ˜‚.

Go Samia go πŸ‘‡



 
Tuondolee ujinga wako pimbi wewe!!! unategemea madikteta wasiotaka uchaguzi HURU na wa HAKI katika nchi za Afrika walete maendeleo badala ya kutunisha mifuko yao na their bank accounts outside of Africa!? Akili ya wapi hii BONGO ZWAZWA!? 😳😳😳😳

 
Acha kututisha mzee. Nchi iko salama mikononi mwa mama. Hakuna linalotisha hadi sasa. Hata wakulima wana uhakika wa kuuza mazao yao.

mpaka sasa mama anaongoza goli 3
 
Kuzunguka koooote kumbe shida yako ni uchaguzi πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚..

Mtanyooka tuu chini ya Chief Mkuu Hangaya
 
Bado inamaanisha serikali inahitaji hela,hawawezi chukua hela ili kujifurahisha tu
 
Mkapa alipoamua kusaini mkataba wa Tanzania kupata 3% nΓ‘ wawekezaji kuchukua 97% aliwekewa bunduki kichwani?
Management ya Tanesco ilipogoma kusaini mkataba na Richmond kwa kuwa kulikuwa hakuna records zozote zile popote pale duniani za kuonyesha miradi iliyosimamiwa nΓ‘ kampuni hiyo kisha mafisadi Lowassa na Kikwete kukazimisha mkataba usainiwe ilikuwa ni mfumo wa uchumi duniani pumbavu wewe!? Kumbe wanasaini mkataba na kampuni FAKE YA fisadi Rostam Aziz!? Toa ujinga wako pimbi wewe!!!

Mkapa alisafiri hadi Dodoma kwenda kuwatishia Wabunge wa maccm walipogoma kupitisha bajeti yote ya Serikali hadi waone mkataba wote na Barrick.

 
unakoelekea wewe na familia yako ndio kwa tish. na huyo babu aliekosa kufanya akandika ushuzi wake,akauleta, ajue kuwa; MAMA ANA SONGA MBELE NA WATANZANIA TUNA SONGA MBELE Kama kurudi nyuma arudi yeye na familia yake. MAJITU MAZIMA OVYOOOO
 
Kosa kuu la mama Chief Hangaya kukubali wakuu mihimili kumpa utabiri wao na kumtisga kuna upande...wanamtisha kuna upande wanasiasa wanataka aendelee 2025 kuna upande wanamwambia kwani anataka nini awaachie waparurane.....yeye hajielewi anataka nini hadi sasa....hilo ndio kosa kuu
 
Endelea kusikitika tu....

Huyo ni HIZBU....hizo hoja zake zifikirie/zikumbatie na kukufurahisha wewe.....
Sasa ww unawaogopa Hizbu hebu elezea walichokufanya hizbu labda walikutia maji ya sumu au vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…