inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,962
- 18,255
Unachostahili ni kipi!?Kwani mwanzo walikuwa wanapata wapi hela yao?
Mbona makato yalikuwepo.
Yaani makampuni ya simu wanalipa Kodi,ukitoa hela unakatwa ada,
Hapo hapo inaingia" TOZO YA SERIKALI"
hata Kama kulipa Kodi huu ni uonevu.
CHUKUA UNACHOSTAHILI.