Mimi hao wengine sina shida nao sana kwa sababu hawakuwa kwenye nafasi ambazo walitakiwa kutenda haki bila upendeleo.
Jaji Ramadhani yeye keshawahi kuwa makamu mwenyekiti wa NEC na ZEC.
Inaleta picha mbaya sana kuona mtu aliyekuwa na cheo kikubwa kwenye hizo tume za uchaguzi anatangaza nia kupitia chama tawala. Hata angetangaza nia kupita upinzani bado ingeleta picha mbaya tu.
I mean, si wengine tumweleweje sasa? Je, tutakuwa tunakosea endapo tukidhani alipokuwa makamu mwenyekiti wa hizo tume alikuwemo humo kwa lengo la kuhakikisha CCM inashinda?
Imagine kama Jaji Lewis Makame naye angetangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM....
Huwa ninakukubali sana mtu wangu kwa hoja zako zenye mashiko na maadili bila kuangalia sura.Kuna jamaa mmoja tulisoma naye engineering mahali fulani sura kama avator yako ingawaje najua siyo yeye mwenye id hii kutokana na majukumu tuliyonayo kitaifa,Waandishi wa kuaminika kama wa Raia Mwema wana ripoti tu hili bila kuuliza maswali
The Boss kwanza hongera kwa kuja kivingine.Pili ninachofikiri "KITENGO" si usalama wa Taifa.Kuna watu wachache ambao sidhani kama wanazidi hata kumi ndani ya CCM yenyewe ndiyo iliyofanya uamuzi wa nani awe sababu za kibinafsi kabisa.Hata Makufuli amepata bahati ya mtende baada ya PANZI KUANZA VITA.Kwa hiyo yawezekana usalama wa Taifa ukasingiziwa tu ili kukidhi haja ya wachache.
Tujiulize haya maswali:
1.Hivi kama ni TISS hawa wafuatao ni wachafu kiasi kwamba walishindwa kuingia kwenye mchujo?Judge Tqmadhani,Pinda,Ghalib Bilali,Chikawe,uadilifu wao ukazidiwa hata na January Makamba asiyejua chochote kuhusu CCM?Kwa kujiuliza hivi kwa uhakika kabisa ninapata majibu kwamba TISS wanasingiziwa tu.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako..Kitengo si TISS ni wachache wNaojua bei ya Makufuli...
Ni kweli si matakwa ya SISIEMU bali wananchi na wapenda amani. lakini BIBi mkubwa CCM hataki ukweli wala kushindwa.Yeye kupitia WENYE CHAMA(Mke mkubwa) walidhania wakiruhusu huu mfumo waTz ni wajinga bado wangewakumbatia kwa ufedhuli wao ,wakashangaa kukosa kura hata baadhi ya mawaziri muhimu wakapigwa chini mfano masikini Warioba.Kumbukeni hizi siasa za vyama vingi "tulilazimishwa" na wakubwa wa dunia, SIO matakwa ya CCM ya wakati huo, wala ya wakati huu.
Wanachofanya CCM ni kufanya maigizo mbele ya dunia, kama yale maigizo ya kuropoka bajeti halafu mwisho wa mwaka wanapeleka mawizarani asilimia chini ya 20 ya bajeti waliyopanga wenyewe.na hizo asilimia 20 zinakwenda kufanya vitu tofauti kabisa na vilivyopangwa.
As a country we are a mess.
The Boss kwanza hongera kwa kuja kivingine.Pili ninachofikiri "KITENGO" si usalama wa Taifa.Kuna watu wachache ambao sidhani kama wanazidi hata kumi ndani ya CCM yenyewe ndiyo iliyofanya uamuzi wa nani awe sababu za kibinafsi kabisa.Hata Makufuli amepata bahati ya mtende baada ya PANZI KUANZA VITA.Kwa hiyo yawezekana usalama wa Taifa ukasingiziwa tu ili kukidhi haja ya wachache.
Tujiulize haya maswali:
1.Hivi kama ni TISS hawa wafuatao ni wachafu kiasi kwamba walishindwa kuingia kwenye mchujo?Judge Tqmadhani,Pinda,Ghalib Bilali,Chikawe,uadilifu wao ukazidiwa hata na January Makamba asiyejua chochote kuhusu CCM?Kwa kujiuliza hivi kwa uhakika kabisa ninapata majibu kwamba TISS wanasingiziwa tu.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako..Kitengo si TISS ni wachache wNaojua bei ya Makufuli...
Usalama wa taifa wana sub standards sana.
Wanaacha mambo muhimu ya nchi wanafanya siasa.
Hiko Kitengo kinatakiwa kijulikane ni kina nani hasa?
Wao ni kama nani watuamulie rais wa nchi?
Ni kweli si matakwa ya SISIEMU bali wananchi na wapenda amani. lakini BIBi mkubwa CCM hataki ukweli wala kushindwa.Yeye kupitia WENYE CHAMA(Mke mkubwa) walidhania wakiruhusu huu mfumo waTz ni wajinga bado wangewakumbatia kwa ufedhuli wao ,wakashangaa kukosa kura hata baadhi ya mawaziri muhimu wakapigwa chini mfano masikini Warioba.
Wana JF huu ni mwaka 2015, msiniambie hatuna uwezo wa kukichambua hicho kitengo na kukifunua hadi tukianike kibaki uchi. Kuna mambo yanafanyika ndani ya nchi hii ambayo ukiyafikiria sana unaweza kupata kichaa. Ni kama vile ndani ya nchi hii sisi wananchi ni kama mateka, tumekuwa kama mateka kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Ni kama vile uhalisia haupo tena, kila kitu ni bandia hadi maisha yetu. Asante The Boss kwa kuanzisha hii mada...kuna kitengo tukikiachia kitakuja kutupangia hata namna ya kuendesha familia zetu na sasa ni muda muafaka kukifahamu hichi kitengo. Asante Kingunge kwa kutuamsha tuliolala tukidhani wananchi tunachagua kumbe kuna kitengo, kitengo?
Kuna vitu vinajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi
ambavyo vinapaswa kuulizwa
je nikweli wananchi wa Tanzania ndio wasemaji wa mwisho wa masuala ya nchi hii?
au kuna watu kwa aakili zao na utashi wao wamejipa 'jukumu' hilo?
Kingunge alisema 'KITENGO' ndio kiliamua nani awe mgombea wa CCM na sio
wanachama......na Ukisoma gazeti la Raia Mwema wanasema watu wa 'usalama'
walimwambia Ngeleja awaambie wazanzibar kumchagua 'mgombea wa kitengo'
ndio akashinda....maswali yanajitokeza
1.kitengo kinaendeshwa na nani hasa?
2.Ni watu wangapi wanaofanya hayo maamuzi?
3.Ni kweli maamuzi yao yote ni kwa faidaya Taifa?
4.Wananchi wakipishana maamuzi na 'kitengo' maamuzi ya wananchi yataheshimiwa?
5.Nguvu ya 'kitengo' kwa tume ya uchaguzi ni halali?
6.kuna faida ya kushiriki uchaguzi huku 'kitengo' kimeshafanya maamuzi?
7.Je tuna demokrasia kweli au tunaruka ruka ttu na maigizo?
Halafu zoezi ya kuhesabu hizo kura ndio usiku kucha
ni kama wanafanya watu wazima woote ni watoto wadogo..
faulo za wazi tena za kitoto kabisa
Mwanamziki FidQ Kwenye wimbo wake wa Bongo HipHop anasema "Siyo tu bongo mpaka ng'ambo hakuna uhuru wa habari kuna uhuru wa mwenye chombo, mitambo na mwenye mali"
Kuhusu "KITENGO" Lazima tu tuwe wakweli kila chama au taasisi lazima kuwepo na kitengo Ukienda CUF lazima kuna kitengo ndio hicho kila kikampitisha Lipumba kuwa mgombea urais wa CUF na ndo hicho hicho kinampitisha kila siku kuwa mwenyekiti wa CUF kana kwamba hakuna wanachama wengine wenye uwezo wa kuwa wenyeviti au wagombea uraisi ndani ya CUF hali kadhalika NCCr-Mageuzi mambo ni yale yale
Hata ukienda Chadema ni lazima tuu utakutana na Kitengo ndo hicho kilikaa 2009 kikamwambia Zitto amwachie Mbowe nafasi ya Uenyekiti ndiyo hicho hicho kilikaa 2010 kikamuweka dr Slaa awe mgombea uraisi 2010 kwani ulisikia mchakato wa kura za maoni 2010?? eeeehh ni kitengo ndo kilifanya kazi ndio hicho hicho kitengo kinasubiliwa kumsimika tena mgombea urais wa Chadema 2015 Sijui ni Slaa ama Lowasa hicho Kitengo kinasubiiliwa tu kimalize Mazungumzo na Lowasa ndio kitangaze ama Dr Slaa au Lowasa ndo awe mgombea uraisi 2015 kupitia Chadema na hatimaye UKAWA
Kwa hiyo Mkuu The Boss ukisikia kitengo wala usishituke vitengo vipo kila sehemu hata ukienda Marekani kwenye demokrasi pana kabisa nakuhakikishia lazima utakutana tu na Vitengo
Kumbukeni hizi siasa za vyama vingi "tulilazimishwa" na wakubwa wa dunia, SIO matakwa ya CCM ya wakati huo, wala ya wakati huu.
Wanachofanya CCM ni kufanya maigizo mbele ya dunia, kama yale maigizo ya kuropoka bajeti halafu mwisho wa mwaka wanapeleka mawizarani asilimia chini ya 20 ya bajeti waliyopanga wenyewe.na hizo asilimia 20 zinakwenda kufanya vitu tofauti kabisa na vilivyopangwa.
As a country we are a mess.
Zoezi la kuchagua President candidate kupitia CCM linatoa taswira ya jinsi wanavyoendedha mambo yao.
Na bado kuna watu wachache wanaojitoa ufahamu kuichagua CCM ambae wamemamisha mgombea wao kimagumashi.
I guess we need mass mobilization kuwavuruga hawa CCM.
Hapo watapata akili kwasababu ukisema upinzani ujipange ni kwamba watajipanga forever kwasababu sehemu zote nyeti CCM wameshikilia na hawajawahi kuwa na mpango wa kuachia.
Sasa hapo unategemea kuna cha maana kitafanyika?
CCM is a mess na wao ndo wanaosababisha Tanzania kuwa mess zaidi.
huyo mtu sahihi ni lazima atoke tu ccm? kwani kwenye vyama vingine hakuhitaji kutoa mtu sahihi au wao ni mang'ombe ila ccm tu ndo watu?mkuu bora umewasaidia watu waelewe ,maana sisi watz tunazani nchi inaenda tu ,wapo nyenye mamlaka ya kuhakikisha nchi inampata mtu sahihi kwa wakati huo,lakini wakituachia sisi na njaa zetu ,ushabiki wetu ,ukabila wetu unaweza kukuta hata mwendawazimu anakuwa rais kisa anapesa,