Nchi Imesimama?

Nchi Imesimama?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Awali ilikua nikiangalia taarifa ya Habari ni majanga tu kuhusu machafuko/vita/mauaji ya kimbari/ugaidi etc; sasa hivi naona kibao kimetugeukia, jana niliangalia taarifa ya habari ITV

  1. Wafanyabiashara Wanalalamikia EFD/maduka yamefungwa karibu nchi nzima
  2. Wakulima Wanalalamika Bei Ndogo ya Korosho/Pamba etc
  3. Wasafirishaji wanagomea kushushwa kwa nauli-Songea
  4. Wananchi wanalalamika umeme bei juu na wengi wamewasha taa kwa nusu mwezi tu (giza nyumba nyingi) na Guest/Lodge/Hotel vyumba vimepanda bei
  5. Mafuriko/Barabara zimekatika kuunganisha mikoa ya Kaskazini
  6. ........................................................

Najiuliza tunaekea wapi?

  1. Mkuu wa Nchi yupo nje ya Nchi
  2. Makamu wa Rais yupo bize na Katiba
  3. Mawaziri (Fedha) wako kwenye kampeni za siasa
  4. Wenye nchi (Chama) wanahojiana Dodoma -tena wamewaita mawaziri etc
  5. ......................................................

Je Nchi Imesimama?
 
582033_377394232302739_100000964975142_952293_836755044_n.jpg
 
Awali ilikua nikiangalia taarifa ya Habari ni majanga tu kuhusu machafuko/vita/mauaji ya kimbari/ugaidi etc; sasa hivi naona kibao kimetugeukia, jana niliangalia taarifa ya habari ITV

  1. Wafanyabiashara Wanalalamikia EFD/maduka yamefungwa karibu nchi nzima
  2. Wakulima Wanalalamika Bei Ndogo ya Korosho/Pamba etc
  3. Wasafirishaji wanagomea kushushwa kwa nauli-Songea
  4. Wananchi wanalalamika umeme bei juu na wengi wamewasha taa kwa nusu mwezi tu (giza nyumba nyingi) na Guest/Lodge/Hotel vyumba vimepanda bei
  5. Mafuriko/Barabara zimekatika kuunganisha mikoa ya Kaskazini
  6. ........................................................

Je Nchi Imesimama?
Nchi kusimama? Hiyo bado sana! Hao wote wako divided, labda siku wakiamka na kutambua kuwa adui wao ni mmoja, wakaunganisha nguvu zao kupambana naye hapo ndipo nchi itasimama.
 
Wizara hazifanyi kazi, OC haziendi katika idara na kazi ni kama zimesimama nchi inadidimia. Akina Nchemba wanazidi kupaa
 
Una kichaa kichwani,punguza kunywa gongo uliyohalalishiwa na padri slaa,ipo siku atahalalisha kuoa wake zenu makada wake.
 
Back
Top Bottom