Nchi Imesimama?

Nchi Imesimama?

na li ccm bado linapendwa tu.kweli hiki ndiyo kipimo cha ujinga, unajua nimesoma kuwa kilimanjaro inaongoza kwa mambo fulani ya elimu ila pia hawa majamaa ni wajanja maana wameelimika hata wabibi kule wanakuambia nchi hii haijapata mtu wa kuiongoza.maji,umeme,barabara nzuri,mashule na mahospitali pamoja na mawasiliano vilikuwepo siku nyingi lakini angalia baadhi ya maeneo mengi ccm hawapati maana bado watu wanataka maisha bora zaidi.tujifunze.
 
Watanzania wengi tunaongozwa na matukio na wengi wanasubiri kuona 'nyumba ikianguka' ndio wajue, wachache wenye akili kama wewe mnaweza kuona walau miezi kadhaa kuelekea anguko halisi.
 
na li ccm bado linapendwa tu.kweli hiki ndiyo kipimo cha ujinga, unajua nimesoma kuwa kilimanjaro inaongoza kwa mambo fulani ya elimu ila pia hawa majamaa ni wajanja maana wameelimika hata wabibi kule wanakuambia nchi hii haijapata mtu wa kuiongoza.maji,umeme,barabara nzuri,mashule na mahospitali pamoja na mawasiliano vilikuwepo siku nyingi lakini angalia baadhi ya maeneo mengi ccm hawapati maana bado watu wanataka maisha bora zaidi.tujifunze.

Masomo, ninakubaliana nawe kabisa. upigaji kura wetu ni kielelezo thabiti cha Mtanzania ni kiumbe gani. Inahitaji msaada wa Bwana na Mtume kumkomboa Mbongo, angaa kifikira.
 
...wamewekeza nguvu zote kwenye propaganda ya serikali mbili...
 
Nchi hii sasa hivi imekuwa ni ya washikaji na kishikaji tu.

ninacho fanya mimi ni kuomba 2015 ifike maana kama kunichefua nimefika mwisho. sina ninye mpenda katika serikali hii.kila jambo baya lazima viongozi wakubwa wao.wamefanikiwa kuwa madarakani kwa kutumia udhaifu wa watanzania.wengi wetu hawajitambui na hivyo hawajui kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja ya UGUMU WA MAISHA NA UTENDAJI MBOVU WA SERIKALI ILIYO MADARAKANI.sasa hivi wapiga kura wengi hasa wa vijijini hawajui kusoma au darasa la saba wanao amini kwamba ccm ndio baba na mama yao.
 
...mkuuu hizi ni moja ya picha zinazo umiza sana moyo wangu,nikiona watoto wadogoo wanateseka kutokana na ulafi wa wachache. hawa hawastahili mateso haya hata kidogo. Mungu atusamehe kwa uovu wetu....!!! looooh !
kwahiyo na huyo naye anaweza kuwa raisi.hapo si tumeisha.
 
Ofisi za Mikoa ndio kabisaaaaa! Watu waenda ofisini kujisomea magazeti tu!
Nakubali unalolisema ni sahihi: ndiyo maana sisi watumishi tunatakiwa kuongoza kuikataa CCM hasa kwa haya matendo yake ya kupuuza watumishi
 
Back
Top Bottom