Nchi imesimama soon inazimia

Ndugu yangu umelalamika tu hujatoa suluhu. Toa mapendekezo tufanyeje?
 
Leta ulinganisho na Bajeti ya yule Mwendazake tuone.
 
Mama anahusika kwa 100%, panapokuwa na kitu kizuri anasifika yeye badala ya wasaidizi wake, panapokuwa na uchafu mnasema wasaidizi wake.
Bibi kapewa kiatu oversize, mule CCM kuna vijamaa vijanjajanja sana mule. Vinapiga, vinatukanwa stupid halafu vinapiga tena 😁.
 
Nchi karibu inazima ndio maana Kikwete anaomba msaada wa wananchi kumuombea Chief Hangaya anusuruke na mafuriko yanayoweza kumsomba!! Utabiri wa blai Ndugai hauko mbali ; we anagalia tu jirani zetu hapo Zambia madeni yanavyo wapeleka puta!! Waswahilini wanasema "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA NA WEWE ANZA KUJITIA MAJI UJUE ZAMU YAKO INAKUJA"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…